mwanaone
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 637
- 760
Mheshimiwa Rais JPM lengo la sheria za nchi yetu ni kuadhibu mtenda uhalifu na sio kumdhaliilisha mtenda uhalifu.
Japo siku za nyuma uliwahi kusema kuwa unatamani mitandao ya kijamii(socia media ) isingekuwepo lakini nimefurahi kuwa bado wewe mwenyewe umeshindwa kuacha kutumia hii mitandao japo kwa kusoma maoni ya watanzania , kwahiyo naamini ujumbe wangu utakufika.
Wengi wameshaongelea hili suala la utaratibu lkn na mimi ningependa kuongezea ikiwa kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu. Mh Rais kama nilivyotangulia kusema hapo juu lengo la sheria zetu ni kuwaadhibu wahalifu na sio kuwadhalilisha hapa namaanisha kuwa Mkuu wa mkoa Mh MAKONDA njia anayotumia ya kuwataja watu wanaohusishwa kwa namana moja ama nyengine na madawa ya kulevya haitotupeleka kule tunapohitaji watanzania na ndio maana tunapiga kelele na tuataendelea kupiga kelele .
mimi binafsi kwa wauzaji wa madawa ya kulevya naona adhabu stahiki kwao ni KUNYONGWA na sio kifungo.
Lakini njia anayotumia mkuu wa mkoa tutaishia kuwadhalilisha WAUZAJI badala ya kuwaadhibu.
MAHAKAMA zetu kwa kufuata sheria zetu ambazo zinataka ushahidi usio na mashaka zitakuwa ktk wakati mgumu wa kuwahukumu hawa watuhumiwa bila USHAHIDI. Hii vita kama ulivyosema leo ni ngumu inahitaji ushahidi sasa anchofanya mkuu wa mkoa ni kuwataarifu watu anaowatuhumu wapoteze ushahidi.
WATANZANIA HATUJALI NAFASI YA MTUHUMIWA TUNACHOTAKA HAWA WATU WAFUNGWE LKN WATAFUNGWA VIPI!!!!!!!!!BILA USHAHIDI.
NJIA ANAYOTUMIA MAKONDA NI SAWA NI KUMPA MWANAFUNZI MTIHANI AKAUFANYIE NYUMBANI BADALA KTK CHUMBA CHA MTIHANI.
ikiwa alipata taarifa za hao jamaa anaowatuhumu kwanini kusingewekwa mtego ili kuwakamata na kuwapeleka mahakamani na ushahidi???????????????????
SINA ELIMUYA SHERIA LKN KWA UTARATIBU ANAOUTUMIA MH MAKONDA HAKUNA MTUHUMIWA YOYOTE ATAKAYEFUNGWA ZAIDI YA KUDHALILISHWA.
MH MAKONDA HANA NIA YA DHATI YA HILI SUALA AU HAJUI ANALOLITENDA AU HAJUI LENGO LA SHERIA ZETU NI KUADHIBU SIO KUDHALILISHA.