baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 314
Mimi ni mtanzania ninamiaka 31,naomba nikutumie ujumbe huu tafadhali.juzi nimekuona zanzibar kwenye sherehe batili wanaziita za mapinduzi,rais wangu binafsi sikutegemea kama ww ungeweza kwenda kubariki sherehe hizo za kibaguzi huku pembeni yako akiwepo ndugu jecha aliye tumia ubavu wake kujiona yy ndio tume huru ya uchaguzi na uchaguzi huru unatoka kwake.niliamua kufuatilia sherehe hizo kwenye tv nilishangazwa na tabasamu lako pale ulipokuwa unapiga jicho ktk mabango ya kibaguz na ww unatabasam bila kufikiri nn athari yake.sikutegemea kama ww leo hii ungekubali serikal ya umoja wakitaifa ivunjike kwa ww kuhudhuria sherehe zisizo usisha umoja huo.tena zikihudhuriwa na chama kimoja huku wakiwa wamevaa sare za chama kimoja,je? Mapinduzi yale yalikuwa ya ccm pekee au yalikuwa ya wana zanzibar?ww ni rais wa muungano nilitegemea utumike kuunganisha nasio kupendelea upande mmoja,haya ulipo hudhuria nikajua unakwenda sasa kutumbua jipu kumbe wapi,umeondoka huko umeacha mzozo mkubwa wa ubaguzi.hivi ulivyo sema hapa kazi tu ndio kazi hiyo? Binafsi naamin mzozo huo uko mikononi mwako ukiamua uishe leo utaisha ukiukumbatia ni juu yako mwenyewe ila ukumbuke kipindi hiki hatuna haja ya kuona damu za wenzetu zisiso na hatia zikimwagika hovyo kama ilivyotokea mwaka 2001 enzi ya rais mkapa.