Maona Waziri Pinda anapingana na boss wake wa chama bwana Nape aliyesema UKAWA wasirudi bungeni tena, kwani tangu waondoke mitusi, makelele vimepungua na Bunge linaendeshwa kwa ustaarabu mkubwa.
Kwa msingi huu wengi tunaona waendelee wenyewe kwa wenyewe, sisi tutawasubiri huku mitaani wakati wa kura za kuipitisha - hapo ndiyo mzizi wa fitna utakapokatwa rasmi.