TuntemekeSanga, controversial situations zilizopo hazijaota from non where. Zina foundation kamili ambazo wao wenyewe walizitengeneza ama wakijua zingwalipukia ama kiongozi ajaye zingemlipukia ili mradi wamekamilisha nia zao.
Serikali ina machinery zote, na hatutegemei ifanye kazi kwa kubashiri bashirikama wapiga ramli, mfumo ambao umetumika sana katika awamu hii ya nne. Mipango mingi haina utaalam wakati serikali inawataalam tena walio competent sana. Ama walienguliwa kwa maslahi binafisi, ama mawazo yao yaliwekwa kando kwa kuonekana yanakinzana na maslahi ya watawala, ama hawakufikiriwa kama wana maana na faida kulingana na mitazamo juu ya thamani ya elimu na utaalam wa viongozi wa nchi.
Yanayotokea haya, ninaomba liwefundisho kwa wananchi, ili kuwa makini na aina ya viongozi tunaowaweka madarkani, namna tunavyowapata viongozi hawa, mfumo wanaoutumia kuingia madarakani na itikadi za mfumo huo, kama ni chama, n.k, lakini pia namna gani katiba na sheria zilizo loose vile zinaweza kutumika kinyume na matarajio kama mnapata viongozi wa aina hii.
Upande mwingine ni wa watawala kwamba, yanayozikuta nchi zingine, tanzania haina kinga dhidi yake. Utawala mbovu, usiojali, wenye unafiki na udanganyifu, usiosimamia maslahi ya umma, unaogawanya watu, usiowajibika kwa watu wake, wenye dharau na matabaka, wizi na rushwa, siku zote utaend up kwenye instabilities ambazo madhar yake hayataishia kwa watawaliwa tu.
TUCHAGUE VIONGOZI WETU KWA KUZINGATIA MIRENGO NA ITIKADI ZA VYAMA VYAO AMBAVYO NDIVYO VITA WASUPPORT KATIKA MIONGOZO NA UTEKELEZAJI WA ILANI NA KATIBA; UWEZO NA NIA ZAO KATIKA KULITUMIKIA TAIFA. USHABIKI USIOKUWA NA VIGEZO NI HASARA. (MFANO DHAHIRI TUMEONA CCM AMBAVYO IMEKWAMISHA MASUALA MENGI YA MAENDLEO KATIKA AWAMU HII YA NNE HATA PALE VIONGOZI BINAFSI WALIKUWA TAYARI KUFANYA).
TUTENGENEZA KATIBA YENYE MACHO YA KUONA MBALI MAANA TUMEONA NAMNA GANI KATIBA YETU YA IMANI ILIVYOKUWA ABUSED.
VIONGOZI TUTAKAOWACHAGUA, WAJUE NI WATUMISHI NA SI MA BOSS!.
KWA MTINI TUMEJIFUNZA
Kusema ni rahisi. Shughuli ni kutendala.
Ungekuwa kwenye kiti cha waziri mkuu na changamoto (controversial issues) kama haya yanatokea sijui ungefanya nini zaid ya anachokifanya Pinda muda huu.
Uongozi si lelemama kama udhaniavyo..
kensh , @vuta nkuvute ,
stabilaza na wengineo