Labda kuna ka ukweli fulani na uhalisia.Hivi ulikosa makabila mengine ya kulinganisha mpaka uchague Wachagga!!?
Labda???!Well hiyo labda angeilekeza kwingine ingekua poa zaidi!!Labda kuna ka ukweli fulani na uhalisia.
Hivi ulikosa makabila mengine ya kulinganisha mpaka uchague Wachagga!!?
pengine alitafuta mfano ulio karibu zaidi na ukweli. Kwani wachaga wana sifa hizo zilizowekwa kwenye mfano?Labda???!Well hiyo labda angeilekeza kwingine ingekua poa zaidi!!
We nawe ndo wale wale...hata nikukueleza mpaka mwakani bado hutoelewa!!Endeleeni kujazana ujinga!pengine alitafuta mfano ulio karibu zaidi na ukweli. Kwani wachaga wana sifa hizo zilizowekwa kwenye mfano?
ah ahh bana! Mi nimeuliza ili nieleweshwe sasa we unataka nijazwe ujinga tena?We nawe ndo wale wale...hata nikukueleza mpaka mwakani bado hutoelewa!!Endeleeni kujazana ujinga!
Nimeipenda stori yako lakini natoka Mbeya na kwa totos za Kichagga huniambii kitu hata risasi nipige tu,kwahiyo futa Wanyakyusa na Wachagga kwenye thread yako na kama vipi we hamia huko Pemba tu.Habari wana JF?
Mwenzenu nilikuwa Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in General), nimewatofautisha kabisa na wa bara!!!
Ni msomi lakini myenyekevu, mtiifu, msikivu na muelewa achilia mbali asili yake ya Kiarabu aliyonayo iliyoongeza nakshi za urembo wake! Kiukweli kwa maisha ya ndani niliyoishi naye kwa kipindi cha wiki tatu ni tofauti na let say Wachaga au Wanyakyusa ambao lugha za command ni nyingi kiasi kwamba na mie nimejigundua kuwa nilikuwa naendana na mazingira yao (nakuwa mkali pia)!
Mfano: Nilipokuwa na huyu Mpemba nimejikuta nakuwa Mpole isivyo kawaida hivyo nimejigundua nikikaa na binti asiye na lugha za kuplease nami nakuwa hivyo hivyo!!
Kwa anayejua matatizo ya hawa watu ayashushe hapa jamvini coz nimekaa nao kwa muda mfupi sana kuwajua vyema ningumu but nililokuwa nasikia kwamba ni wavivu hilo si kweli kwa kuona mimi mwenyewe! Lengo ni kuwa na watu unaowafahamu zaidi kuliko kukurupuka!
Maoni yenu wana JF kabla sijaamua kuvuka tena bahari nikiwa na washenga!!!
Ujazwe mara ngapi sasa?!ah ahh bana! Mi nimeuliza ili nieleweshwe sasa we unataka nijazwe ujinga tena?
kinini hicho?Ujazwe mara ngapi sasa?!
Habari wana JF?
Mwenzenu nilikuwa Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in General), nimewatofautisha kabisa na wa bara!!!
Ni msomi lakini myenyekevu, mtiifu, msikivu na muelewa achilia mbali asili yake ya Kiarabu aliyonayo iliyoongeza nakshi za urembo wake! Kiukweli kwa maisha ya ndani niliyoishi naye kwa kipindi cha wiki tatu ni tofauti na let say Wachaga au Wanyakyusa ambao lugha za command ni nyingi kiasi kwamba na mie nimejigundua kuwa nilikuwa naendana na mazingira yao (nakuwa mkali pia)!
Mfano: Nilipokuwa na huyu Mpemba nimejikuta nakuwa Mpole isivyo kawaida hivyo nimejigundua nikikaa na binti asiye na lugha za kuplease nami nakuwa hivyo hivyo!!
Kwa anayejua matatizo ya hawa watu ayashushe hapa jamvini coz nimekaa nao kwa muda mfupi sana kuwajua vyema ningumu but nililokuwa nasikia kwamba ni wavivu hilo si kweli kwa kuona mimi mwenyewe! Lengo ni kuwa na watu unaowafahamu zaidi kuliko kukurupuka!
Maoni yenu wana JF kabla sijaamua kuvuka tena bahari nikiwa na washenga!!!
U J I N G A!!akinini hicho?