Mh Ndugai jana aliongea vizuri sana

Mh Ndugai jana aliongea vizuri sana

Mtasema sana ila jana Ndugai kaonge 100 ukweli. Ungwana vitendo jaman
 
Jaman mnyonge mnyongen ila haki yake mpeni, jana mh Ndugai aliongea very postive nakuwakata midomo wa ropokaji bungeni. Kuheshimiana ni jambo zuri sana. Naalipo uwa zaidi nipale aliposema watu wamepewa fursa zakuwa wa bunge ila sio kwamba ndio wanafaa sana nakujisahau nakuwatukana wengine! Kwakweli i wish kama Kunagazeti litaandika yote aliandika ni big subject to all Tanzanian.
eh..kunawakati aliwah kumkebeh mbnge wa kawe kuwa anawashwa...nadhani haikuwa namna ya kuonesha heshima..ila kuonesha kuwa yeye anafaa zaidi...hii ndo
hawa ndo viongoz wetu. "vyalongwa mbali vyatendwa mbali"
 
Jaman mnyonge mnyongen ila haki yake mpeni, jana mh Ndugai aliongea very postive nakuwakata midomo wa ropokaji bungeni. Kuheshimiana ni jambo zuri sana. Naalipo uwa zaidi nipale aliposema watu wamepewa fursa zakuwa wa bunge ila sio kwamba ndio wanafaa sana nakujisahau nakuwatukana wengine! Kwakweli i wish kama Kunagazeti litaandika yote aliandika ni big subject to all Tanzanian.
Unasema Ndugai huyu?
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    12.5 KB · Views: 74
Back
Top Bottom