Mh Mwaiposa nakukubali

Mh Mwaiposa nakukubali

singsong

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
77
Reaction score
9
Nimekuwa nafuatilia mikutano yako mingi nitaje michache ya hivi karibuni wa Kivule moshibar , Kitunda na Ukonga .Ni mara chache wabunge , madiwani wa CCM wanaruhusu maswali kwa wananchi katika mikutano ya hadhara lakini mikutano ya mwanamama huyu yote anatoa nafasi kubwa kwa wananchi kuuliza maswali na kinachonivutia ni namna unavyoyapangua kwa ujasiri inaonyesha kweli unalifahamu jimbo na changamoto zetu.Kwa hilo nakupongeza na kura yangu kama utagombea tena hesabu unayo.
 
Wee naona ni mpambe mi CCM haifai inatakiwa kuondoka tu. Swala si Mwaiposa ni hayo mafisadi anayoyawakilisha
 
Wewe acha viroba najua umeshakunywa asubuhi hii CDM mafisadi kwa lipi . Unaoneka uko kichama zaidi na siyo FACTS
 
Huyo wa mwaka 84 mwache hivyo hivyo na pumba zake. Ila mheshimiwa Mwaiposa kwa kipindi hiki cha kwanza kashuka.Nakumbuka kumtumia ujumbe kuhusu kiwanda cha moshibar kesho yake kaja na kuahidi kukifunga na kakifunga kweli. Mama tutakupigania ila hama huko kwa mafisadi
 
Huyu jamaa nina wasiwasi na shule yake au kila anapotuma ujumbe huwa kalivuta lazima tumripoti kwa Kova na chama chake cha mafisadi
 
Back
Top Bottom