Mh. Mtanda afiwa

Mh. Mtanda afiwa

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,374
Reaction score
38,248
"Ni pigo kubwa, kufiwa na baba yangu mzazi mzee mohamed issa mtanda , msiba uliotokea alfajiri ya leo, mwenyezi mungu mkubwa" Said Mohamed Mtanda.

Source: fb page ya Mh. Saidi M. Mtanda
 
Pole sana slim5 mtanda tuko pamojah na afande sele
 
Nadhani huyu jamaa ni mbunge, cjui wa huko kilwa sema mleta habari anafikiri kila mtu anamjua

Ukishaweka neno nadhani maana yake hujui na pili hata jimbo lake hulijui kwahiyo na wewe pia unahitaji ufafanuzi ili hii iwe taarifa iliyokamilika
 
who is this dude.muwe mnaweka information kamili mtanda ndio nani

mtanda1.jpg

Said Mtanda, Mbunge wa Jimbo Mchinga kupitia CCM
 
Back
Top Bottom