Bahati nzuri Mnyika ni member humu, bila shaka atauona ujumbe wako.Katika pilika pilika zangu hapa nchini zambia nimepishana na mtu kama mnyika. Naomba wenye taarifa nae kama ni yeye kweli yupo hapa watupe contact zake ili tuwe na masiliano nae. Ni mbunge wangu jimbo la Ubungo, hivyo kupata nafasi ya kula nae kifungua kinywa, lunch au dinner hapa ugenini ni fahari kubwa. P/se, p/se!!

I wish now there is no MOD's on JUKWAA LA SIASA... Hii Habari imepita ni Ombi na Sio habari za Siasa... Habari zangu za Siasa hazipiti kabisaa

Mimi ni Mwanachama ninayefuata Masharti yote ya Jamii Forum na nachangia lakini habari zangu zinatupwa; Ni bora niambiwe sababu nitaacha kuweka habari zangu ndani ya JUKWAA LA SIASA

IS THERE A FREE DEMOCRACY IN HERE ?? IF THERE IS A PICK AND CHOOSE NO DEMOCRACY...

umejuaje.................mwenzio kaleta siredi ka huna cha kuchangia funga bakuli lakoupuuuuuuuuuziiiíiiiiiiiii mtuuuuuuuuupuuuuu huenda hata baba yako au mama hujawanunulia dinner au lunch hata siku moja.
Sure! kama yeye haimuhusu sio lazima kukoment, watu wengine vipi?umejuaje.................mwenzio kaleta siredi ka huna cha kuchangia funga bakuli lako
Katika pilika pilika zangu hapa nchini zambia nimepishana na mtu kama mnyika. Naomba wenye taarifa nae kama ni yeye kweli yupo hapa watupe contact zake ili tuwe na masiliano nae. Ni mbunge wangu jimbo la Ubungo, hivyo kupata nafasi ya kula nae kifungua kinywa, lunch au dinner hapa ugenini ni fahari kubwa. P/se, p/se!!