Mh.Membe kuhutubia diaspora London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.Membe kuhutubia diaspora London

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Mar 24, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimesoma kwenye Tzuk.com kwamba mh.Membe atahushuria mkutano wa diaspora jijini London.Hawa politicians kwenda London kupatronise watu na kujifanya wanajali maendeleo ya nchi ,it is beggar's belief.Naona serikali hii hawa watu wanapenda kusafiri safiri sana,na kupoteza taxpayers money.
  Jamani watu wa foreign mtuambie huyu Membe per diem yake ngapi,bora angetumia hizi hela kufanya maendeleo jimboni kwake kuliko kupaa hewani na kula kuku London.

  Kila mtu anajua London,kwa sasa ni playing grounds kwa hawa wasanii wa serikali.Kama wewe Mtz uko London,mtu huyu atakusaidia nini?Eti kukuhubiri maendeleo ya Tanzania???????????Wakati billions of shs zinaibiwa kila siku serikalini kwa njia ya ufisadi,na serikali haifanyi lolote!
   
 2. S

  Sheba JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmh!

  Frustrated diasporian..........argue dont shout.
   
 3. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hata eti Vice Chancellor wa UDSM ,Prof. Mukandara atachair session!Come on,huyu anahusiana vipi na Diaspora?
  Huyu anatakiwa awe UDSM kuimarisha elimu ya UDSM.Tunajua UDSM sasa ni politicised hata kukataa kumpa kazi
  Prof.Mwesiga,a true academic .

  Kama Mukandara angekwenda London kama visiting professor kwenye eliete University hapo sawa,lakini kuhutubia wasanii wa London,it a big joke.


  Hata Kilaza mmoja wa BOT,ndugu Mkila,Deputy Governor naye atachair session moja.Najiuliza huyu bwana benki yake,BoT ina uozo na mascandal,nani atamtrust?Kwanza anaubavu gani kuelezea vilaza wa London,kwamba yeye ni mtaalamu?

  Come on hawa watu wanapatronise tu,bora waseme wanakuja kwa mambo yao kuliko kujihusisha eti na diaspora.
  I am sick to death kwenye hii behaviour ya hawa watu
   
 4. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Mzee fafanua !
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wacha ngebe wewe unafikiri mtu yuko London ana matatizo ya kumsikiliza Membe? Hiki Chama Cha Majambazi ndicho kiko frustrated kufikiri ati solution iko nje ya nchi. WTZ hivi sasa wana mgawo yeye kaja kutapanya fweza za walipa kodi huku for what purpose? Walio London ni more informed labda watu kama wewe ambaye upo hapa na bado unatafuna fweza za walipa kodi wa bongo.
   
 6. S

  Sheba JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 210
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmakonde,

  Napata wasiwasi kuwa hutoi hoja ila unalalama tu....kulikoni? Kwa nini usiweke hoja watu wajadili? Nina imani pengine unayo hoja lakini hujaipa nafasi. Mwalimu Nyerere alituasa kuwa "Argue, Dont shout"
   
 7. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Sheba,mwenzako mambo ya Nyerere nilishaacha siku nyingi.tangu niliposikiliza Ujumbe wa Leo na baba yangu,saa mbili na robo tukila ugali,ilikuwa propaganda ya nguvu.sasa nimejikomboa,i am free man.Tanzania tunasuffer na viongozi ambao wanafurahia matunda ya Nyerere.Tukumbuke Mkapa,ndio Nyerere alitupa.Kumbuka Nyerere hakukubali hoja,waulize akina Kambona,Mtei,Mapalala,Fundikira na wengineo wengi.
  'Zidumu Fikra za mwenyekiti wa Chama' ndio tuliambiwa tuseme.

  Kuhusu Diaspora,nimetoa hoja yangu,kuwa akina Membe toka SISIEM ni morons,hawana chochote cha kuwaambia Watz ambao wengi ni wapiga box,hawana ufisadi,ni kufanya kazi na kusupport family zao.

  Nimesema kuwa huyu Prof . wa UDSM naye anajiingiza kwenye mkumbo huu bila ya sababu?ndio hapo uduni wa elimu yetu unaonekana.Huyu kama kweli ni Prof. wa maana ,tungesikia anakuja kutoa lecture kama visiting Prof.wa say UCL,LSE etc,SIO kukamata taxpayers money na kuja kutoa porojo za kibongo kwa wasanii wa UK na wanasisim.

  Kwanza anakishushia hadhi chuo kikuu cha UDSM !
   
 8. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hata Issa Michuzi atatoa mada ya 'Diaspora to diaspora for Communication'
  With due respect to Mr Michuzi,huyu bwana atawapa nini cha maana?
  Kuwafundisha waTz London,jinsi ya kutumia blogu/internet?

  Tukumbuke Michuzi anatumiwa na SISIM kwa propaganda zake?Naye eti atapata per DIEM kwa hii mada?
   
Loading...