Well said . Yes, maisha yake binafsi wakati mwingine yanaweza kuathiri utendaji wake , ww unafikiri anakwenda kumbi za starehe mpaka saa 10 usiku unategemea kesho yake atakuwa yuko active kuwatumikia wananchi kweli ?.
Tulia kijana mbunge wako yuko bize na posho na macheni makubwa ya dhahabu shingoni....we swaga na vumbi tu; atarudi tena 2014 mwishoooni atawawekea kifusi kwa makubaliano kuwa mkimchagua tena ndani ya miezi mitatu mingine atapiga lami ya kiwango cha juu sana.Hivi sasa wabunge waliochaguliwa wa majimbo mbali mbali wapo kwenye utekelezaji wa ahadi walizo zitoa. Mie ni mkazi wa jimbo la Kawe, na mojawapo ya ahadi aliyoahidi mbunge wa Kawe, Mh. Halima Mdee ni kuhusu ujenzi wa barabara ya msasani kwa mamwinyi amabayo hupitwa na idadi kubwa sana ya watu wanao kwenda kazini mjini.
Na kwa ahadi yake alisema ndani ya miezi 3 baada yakuchaguliwa angeishughulikia hii barabara. Ila chakushangaza, mpaka leo hii hakuna chochote na Mh. Mdee hajasema lolote zaidi ya kumuona kwenye kumbi za starehe na mjengoni.
My take : Ndio kusema Mh. Mdee ulitudanganya ili tukupe kura tu zakufanya matanuzi na kumbe ulikuwa huna uwezo wa kuijenga hiyo barabara ndani ya miezi 3? Na mpaka sasa ni ahadi gani umeisha tekeleza kwenye jimbo la kawe ?. Kweli Mheshimiwa, zimwi litujualo halituli ............
kwa kuwa umerudia kauli hii mara mbili nahisi una ajenda binafsi na Halima Mdee na sio suala la barabara. Kila raia na haki ya msingi ya kwenda atakapo sasa wewe inakuuma nini? au unamtaka? Tumia njia za kawaida badala ya character assassination.

Mie sina la zaidi ya barabara kwa Mdee. Mie viburudisho nilivyo navyo vinanitosha na vitu vya maana kuliko Mdee
Hivi sasa wabunge waliochaguliwa wa majimbo mbali mbali wapo kwenye utekelezaji wa ahadi walizo zitoa. Mie ni mkazi wa jimbo la Kawe, na mojawapo ya ahadi aliyoahidi mbunge wa Kawe, Mh. Halima Mdee ni kuhusu ujenzi wa barabara ya msasani kwa mamwinyi amabayo hupitwa na idadi kubwa sana ya watu wanao kwenda kazini mjini.
Na kwa ahadi yake alisema ndani ya miezi 3 baada yakuchaguliwa angeishughulikia hii barabara. Ila chakushangaza, mpaka leo hii hakuna chochote na Mh. Mdee hajasema lolote zaidi ya kumuona kwenye kumbi za starehe na mjengoni.
My take : Ndio kusema Mh. Mdee ulitudanganya ili tukupe kura tu zakufanya matanuzi na kumbe ulikuwa huna uwezo wa kuijenga hiyo barabara ndani ya miezi 3? Na mpaka sasa ni ahadi gani umeisha tekeleza kwenye jimbo la kawe ?. Kweli Mheshimiwa, zimwi litujualo halituli ............
Nimeshakuelimisa kuwa sio kazi ya mbunge kujenga barabara na kwa elim zaidi soma post yangu hapo juu ujue majukumu ya mbunge.
Hua anapita kufanya mikutano huko jimboni kwake, vipi ulishamuuliza?
Kama sio jukumu lake kwa nn kwenye kampeni anasema 'nitajenga barabara' badala yakusema ' serikali watajenga barabara'. Dhana hapa 'nitajenga' ina maana nafsi ya mimi , ambayo ni ya mzungumzaji.
Mie sina la zaidi ya barabara kwa Mdee. Mie viburudisho nilivyo navyo vinanitosha na vitu vya maana kuliko Mdee
Kama yeye alijua haya aliahidi ya nini ndani ya miezi 3 na kwa kauli yake mwenyewe? huu sio utapeli sasa wakuahidi kitu ambacho huna mamlaka nacho?
Kama sio jukumu lake kwa nn kwenye kampeni anasema 'nitajenga barabara' badala yakusema ' serikali watajenga barabara'. Dhana hapa 'nitajenga' ina maana nafsi ya mimi , ambayo ni ya mzungumzaji.
Mkuu unaonekana huna subira kila kitu mipango barabara itajengwa ila kwa kipindi hiki serikali haina pesa za miradi ya barabara humsikilizi magufuri?lindi -mtwara mkandarasi kasepa itakuwa hiyo ya msasani mbona wakazi wamevuta subira mpaka leo hii tuna adhimisha miaka hamsin hakujakuwa conectedHivi sasa wabunge waliochaguliwa wa majimbo mbali mbali wapo kwenye utekelezaji wa ahadi walizo zitoa. Mie ni mkazi wa jimbo la Kawe, na mojawapo ya ahadi aliyoahidi mbunge wa Kawe, Mh. Halima Mdee ni kuhusu ujenzi wa barabara ya msasani kwa mamwinyi amabayo hupitwa na idadi kubwa sana ya watu wanao kwenda kazini mjini.