Mh. Mbowe Jitathmini la sivyo chama kitakufia mikononi

mzee ally

Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
21
Reaction score
8
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania pia ndio chama cha pili kwa kuwa na wafuasi wengi wabunge na madiwani kikiongzwa na Chama Cha Mapinduzi CCM.

Katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2015 CHADEMA kilikimbiliwa na kundi kubwa LA vijana waliojiunga kwa ajili ya kuendesha harakati mbalimbali za kukijenga chama kama vile operation sangara na n.k ambazo zilipelekea wasomi wengi kujiunga na chama hicho.

Lakini kwa sasa chama hicho kimeanza kupoteza mvuto kiasi kwamba idadi kubwa ya viongozi wake kama wabunge madiwani na viongozi Wa jumuia za chama wanakihama chama hicho.

Kitendo hicho kinaashiria kwamba ndani ya chama kuna fukuto waswahili husema "ukiona moshi unafuka tegemea moto kuwaka"

Mimi nadhani kwa sasa CHADEMA inapitia kipindi kigumu sana na inahitaji kujijenga upya na njia nzuri ya kujijenga mimi nafikiri

1) Viongozi wa jitathmini waone bado wanafaa kuiongoza CHADEMA ? kufikia malengo ya kukamata Dola akianza na mwenyekiti

2) CHADEMA iwatambue watu wote waliojenga na kukipigania chama kwa hali yeyote waliyokuwa nayo mpaka ikasimama ndio Mara nyingi wawape nafasi za kuongoza

3)Democrasia ndani ya chama wanachama ndio wawe na maamuzi na sio maamuzi yawe ya MTU mmoja

4) Viongozi na wanachama wakae chini ili watafute chanzo na wawasikilize maoni ya watu na kuyafanyia kazi

5) kuna minong'ono huku mtaani inayotaka mwenyekiti awaachie wengine waongoze chama wenye uwezo na dira oamoja na mawazo mapya

6) CHADEMA iwekeze kwenye vijana na iwaamini ili wafanye kazi

7) CHADEMA ipokee watu ila inapaswa iwachuje kwanza ndio iweze kuwateua kushika nyadhifa mbali mbali

9) CHADEMA lazima ikubali kuzirudisha zile agenda za kupinga rushwa na ufisadi na ijaribu kuepukana nazo ikiwemo kutojihusisha na watu wenye kashfa hizi

Baharia. MZEE ALLY MVIHANGA
0712666821
 
Wewe kama unaona itamfia mkononi sepa, unadhani wewe ukiwekwa pale utaleta miujiza gani katika mazingira ya sasa ya kisiasa. Toa ramli zako hapa. Badala ya kupigania uwepo wa mizania sawa ya kisiasa unaleta ramli zako hapa. Sepa.
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania pia ndio chama cha pili kwa kuwa na wafuasi wengi wabunge na madiwani kikiongzwa na Chama Cha Mapinduzi CCM.

Katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2015 CHADEMA kilikimbiliwa na kundi kubwa LA vijana waliojiunga kwa ajili ya kuendesha harakati mbalimbali za kukijenga chama kama vile operation sangara na n.k ambazo zilipelekea wasomi wengi kujiunga na chama hicho.

Lakini kwa sasa chama hicho kimeanza kupoteza mvuto kiasi kwamba idadi kubwa ya viongozi wake kama wabunge madiwani na viongozi Wa jumuia za chama wanakihama chama hicho.

Kitendo hicho kinaashiria kwamba ndani ya chama kuna fukuto waswahili husema "ukiona moshi unafuka tegemea moto kuwaka"

Mimi nadhani kwa sasa CHADEMA inapitia kipindi kigumu sana na inahitaji kujijenga upya na njia nzuri ya kujijenga mimi nafikiri

1) Viongozi wa jitathmini waone bado wanafaa kuiongoza CHADEMA ? kufikia malengo ya kukamata Dola akianza na mwenyekiti

2) CHADEMA iwatambue watu wote waliojenga na kukipigania chama kwa hali yeyote waliyokuwa nayo mpaka ikasimama ndio Mara nyingi wawape nafasi za kuongoza

3)Democrasia ndani ya chama wanachama ndio wawe na maamuzi na sio maamuzi yawe ya MTU mmoja

4) Viongozi na wanachama wakae chini ili watafute chanzo na wawasikilize maoni ya watu na kuyafanyia kazi

5) kuna minong'ono huku mtaani inayotaka mwenyekiti awaachie wengine waongoze chama wenye uwezo na dira oamoja na mawazo mapya

6) CHADEMA iwekeze kwenye vijana na iwaamini ili wafanye kazi

7) CHADEMA ipokee watu ila inapaswa iwachuje kwanza ndio iweze kuwateua kushika nyadhifa mbali mbali

9) CHADEMA lazima ikubali kuzirudisha zile agenda za kupinga rushwa na ufisadi na ijaribu kuepukana nazo ikiwemo kutojihusisha na watu wenye kashfa hizi

Baharia. MZEE ALLY MVIHANGA
0712666821

Sumu ya Chadema ni Mbowe mwenyewe....HAKUNA kiongozi yeyote ndani ya Chadema aliyewahi kumpinga Mbiwe aka survive, Mbowe hataki kushauriwa na hajuwi kanuni za uongozi, yeye analazimisha tu. Kila mwaka LAZIMA azue jambo la kulaumu wenzake wakati tatizo ni yeye mwenyewe. Chama kinamfila (kinamfia) hivi hivi bila hata kujitambua.
 
Kimfie mara ngapi?
 
Hiyo ya tisa, wanarudije?? Yaani Mbowe, lissu, Msigwa, lema waanze kusema wanapinga ufisadi?? Sio rahisi kama unavyodhanj kwa watanzania kuwaelewa.
 
Mlimwambia Kikwete hivihivi kuwa chama kinamfia mikononi? Leo mnamwaga misifa kwa CCM. So, kaeni mtulie!
 
Halafu Lowasa anamuangalia tu kama hajui kitu! Kikifa huyoo ndiyo anaenda zake Monduri kuchunga ng'ombe zake
 
Hiyo ya tisa, wanarudije?? Yaani Mbowe, lissu, Msigwa, lema waanze kusema wanapinga ufisadi?? Sio rahisi kama unavyodhanj kwa watanzania kuwaelewa.
Ufisadi unaoendelea uko kwenye ujenzi wa uwanja wa chato ccm ndo wameusema au?lugumi ccm ndo wameusema au?mbn mnajitia usaa kwenye masikio wakati bdo mko below 50? Vijana badala ya kuchambua mambo tunakalia kuvutiwa na vijineno viwili vitatu basi
Shubamitiiiii
 
Ccm itaendelea kushauri UDP,TADEA na tu vyama twingine uto ila siyo ukawa,ukawa itashauriwa na wana ukawa peke yake so nyie haya mawazo yenu yarudisheni ukouko
 
CHADEMA iko ICU kwa sasa, Mbowe inabidi ajiige vidole tu na kukikacha la sivyo atakimbiwa na wafuvu yote aliyonayo hivi sasa kwani yameshaanza kujitambua.
 
Back
Top Bottom