gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
alama za nyakati kwa mboe ni kuendelea kuwa mwenye kiti,maana wanaomtaka aachie wenye kiti ni ccm kwa njinsi wanavyomuogopa ni sawasawa na wapenzi wa madrid wanavyoomba mess aame baselonani ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati
ni ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati
...lumumba inaharisha ikisikia jina la mbowe na ukawa,kaulimbiu ni mpaka kieleweke...
sisi wajumbe wa baraza kuu la chadema kutoka mkoa wa pwani tunaamini kuwa viongozi wetu ni shupavu na wana weledi mkubwa katika masuala ya uongozi. Ndani ya uongozi wao chadema imeweza kusambaa nchi nzima na kuwa na wanachama katika mikoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji, mitaa na vitongoji, tumeongeza idadi ya wabunge kutoka 4 na madiwani 42 mwaka 1995 hadi wabunge 5 na madiwani 74 mwaka 2000, na kutoka wabunge 5 na madiwani 74 hadi wabunge 11 na madiwani 102 mwaka 2005, na kutoka wabunge 11 na madiwani 102 hadi kufikia wabunge 49 na madiwani 520 huku tukiongoza halmashauri kadhaa mwaka 2010. Kwa ubunifu wa viongozi wanaoitwa wameshindwa kazi, tumeanzisha program ya chadema ni msingi ambayo inakipelekea chama kuwa na mtandao mkubwa na kuweza kukabiliana na hila za ccm mpaka kwenye mizizi. lumbwa msalani
ni ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati
chagadema ni wagum kuelewaalama za nyakati kwa mboe ni kuendelea kuwa mwenye kiti,maana wanaomtaka aachie wenye kiti ni ccm kwa njinsi wanavyomuogopa ni sawasawa na wapenzi wa madrid wanavyoomba mess aame baselona
chagadema ni wagum kuelewa
Ccm uislam mbona wanafukuza wachimbaji wadogo kila sehemu mathalani geita na nyamongo
Mbowe endelea kuwepo chadema ninakuamini kwasbbu nguvu yako ya ukoo imewafanya ccm washindwe kukuua,kukuteka,kkuon'ga,kukutishia lakini ukitoka kwenye uenyekiti tumekwisha chadema,make sioni ambaye atakuwa mbabe kama wewe kupamban na chama ambacho viongozi wake kama akina anna makinda toka ana umri Wa miaka 17 yuko system mpaka leo na hijulikani ni lini watarudi shambani na walime kamA .makabila mengine nchi hii ni waoga WANa njaa na ndio maana wanaon'geka kama akina Kitila,mwigamba,zitto,dovutwa,cheyo wwana njaa waoga,wanaogopa kulala rumande,big up Mbowe kamanda,watajibeba ccm,act.umesoma hii thread kwel?
Mbowe endelea kuwepo chadema ninakuamini kwasbbu nguvu yako ya ukoo imewafanya ccm washindwe kukuua,kukuteka,kkuon'ga,kukutishia lakini ukitoka kwenye uenyekiti tumekwisha chadema,make sioni ambaye atakuwa mbabe kama wewe kupamban na chama ambacho viongozi wake kama akina anna makinda toka ana umri Wa miaka 17 yuko system mpaka leo na hijulikani ni lini watarudi shambani na walime kamA .makabila mengine nchi hii ni waoga WANa njaa na ndio maana wanaon'geka kama akina Kitila,mwigamba,zitto,dovutwa,cheyo wwana njaa waoga,wanaogopa kulala rumande,big up Mbowe kamanda,watajibeba ccm,act.
Ni lini ZITTO atapewa uenyekiti wa ACT?
Mheshimiwa Dr. Kitila Mkumbo, naomba utuletee katiba ya chama cha waasi ACT ili tuichambue kwa pamoja.
Zitto yuko wapi? Msalani?!
Siku zote comment zako ni up.u.m.bav mtupu.stukaKumbe ni mdharauliwa?!
Ni ushauri wa bure kwa Mbowe kusoma alama za nyakati na kung'atuka km alivowahi fanya mwl Nyerere. Ni wazi sasa kunakelele nyingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki kama mwenyekiti.
Ni wakati sasa Mbowe kusoma alama za nyakati.
Ni ushauri wa bure kwa Mbowe kusoma alama za nyakati na kung'atuka km alivowahi fanya mwl Nyerere. Ni wazi sasa kunakelele nyingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki kama mwenyekiti.
Ni wakati sasa Mbowe kusoma alama za nyakati.