kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,253
- 16,184
Kama vijana tungekuwa tunajituma kama Makonda wazee wangetuamini na kutupisha kwenye viti vyao tukae, maana wasingekuwa na hofu na sisi labda kwa wale wenye uchu wa madaraka kama yule mzee wetu wa Bunda.
Kazi ya Meya wa Dar es Salaam ni kama vile haipo tena. Naomba Rais Magufuli kama ananisikiliza kwa heshina na taadhima ambadilishie kazi huyu kijana awe Waziri Mkuu, over!!!
Kazi ya Meya wa Dar es Salaam ni kama vile haipo tena. Naomba Rais Magufuli kama ananisikiliza kwa heshina na taadhima ambadilishie kazi huyu kijana awe Waziri Mkuu, over!!!