Mh. Magufuli, Nyanza Road barabara imewashinda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Magufuli, Nyanza Road barabara imewashinda!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 5, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,166
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  Kutokana na utafiti ;

  Kampuni ya nyanza Road inayojenga barabara ya jet corner- devis corner Temeke. wameshindwa kazi

  1. Barabara ina mawimbi sana, tayari ishaanza kuharibika!

  2. Layer ya juu kapaka Lami

  3. Anaziba viraka badala ya kuondoa lami iliyokuwepo na kujenga mpya

  4. Stendi ya JET CORNER haifai, barabara za kuingilia na kutokea hazieleweki

  5. Pale ndo uso wa mji ; Tafuta mtu wa kutengeneza kituo cha daladala km mbezi sio Nyanza

  6. Lami imepindishwa kisa ipitie shule za spika wa bunge ''uchunguzi ufanyike tujue ramani ya lami''

  Pole na kazi
   

  Attached Files:

 2. L

  Liky Senior Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  hamjui kuwa mheshimiwa magufuli hao ni jamaa zake wa karibu, washawahi hadi kumzawadia nyumba ipo selemani mwanza
   
Loading...