ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,021
- 1,977
Salaam kwako mh raisi!!
Sisi kama wanachi wenye mapenzi na nchi yetu tunaomba umpandishe cheo Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Mh Paul makonda kuwa Waziri wa habari Sanaa na tamaduni!!
Kwanza tumeona jinsi Mh Mkuu wa mkoa alivyokuwa akishirikiana friendly na vyombo vya habari kama vile clouds media Mara nyingi alionekana studioni akishirikiana nao pia Ruge kwa mdomo wake amethibitisha kuwa makonda ni rafiki mkubwa wa vyombo vya habari!!
Plz Mh raisi fanyia kazi matakwa yetu wananchi
Najua utalifanyia kazi ombi letu!!
Mwisho!!