Mh. Lowassa na Nape mmeshindwa kuzungumza kwa maneno mmeamua kutumia picha

Jelavic

Senior Member
Dec 28, 2016
180
380
Mwenye macho na aone mwenye kuihisi NA aguse heshima ndio kitu pekee kisicho kuwa na imani siasa rika wala dini lakin kwa hii picha mnatufundisha kitu
 
Sina imani na wanasiasa hata siku moja wapopoana majukwaani ila wakikutana mwororo tu ila sisi huku mpaka tunasusana kwenye misiba
 
Ili maisha ya mwanasiasa yaende ni lazma awe mnafki awachonganishe tabaka la chini mpigane muuane halafu wao ndio maisha yananyooka...
Lakn bila kufarakana nyinyi wao maisha hayataenda..
 
1c55a109588af25a438aeed38c5bace4.jpg
 
Kaiformat hiyo akili yako.... Ina ukungu.
Aiseee basi yako imejaa kutu la kutupa kabisa.
Alitafuta kiki ya kupanda daladala, baada kugalagazwa uchaguzi ikawa kiki za misibani, sasa kuangalia mpira uwanjani ambako hakuwa kwenda kuangalia mpira mpaka kazeeka. Haaahass
 
Back
Top Bottom