Mh. Livingstone Lusinde Under Microscope?

Akitoka kwenye microscope asipelekwe nyumbani kwake kwanza,aingizwe kwenye scanner kwa uchunguzi zaidi
 
huyu jamaa anahojiwa clouds fm..mda huu kweli ni mkinga,sidhani kama kweli kaenda shule....
 
Usihofu sana Mkuu Sijiwezi maana kweli wewe hujiwezi. Siku moja UKIKUWA na kuondokewa harufu ya Maziwa uliyonyonya basi utanielewa. Pitia kurasa za nyuma utaniona imeelezewa kwa faida ya wachache wasioelewa mapema kama wewe.

Tafadhali sana kumbuka kuwa hii ni JF, The home of Great Thinker. Ukianza kusoma na ukajisahau kuwa na wewe ni Great thinker, ndiyo hapo unakuja na kubwabwaja kojo ovyo na mwisho wa siku watu wanakuona ............

You can do better my brother/sister. Just pull up you sox and not condom.
acha ujinga we hewa kama nawe ujui kusoma hata kusikia tu nalo tatizo...tafuta audio tukutajie jina lake
 
Nikimwangalia Dr Slaa halafu nikikumbuka maneo ya Lusinde....navunjika mbavu tu!!
Hongereni CDM kwa kushinda Arumeru....its my first time naingia kwenye hili jukwaa!! Hope mmesheherekea ushindi salama salmini!!
Angalizo: Dont quote!!:shut-mouth:

Rejao habari bana
 
lusinde didn't know how reactive the public would become. now that he is receiving public anger response and tribulation he is seeking reunion. to me he is already an outcast and he require repentence to his God and the public. take it from me lusinde u shall eventually rejoin the mass and the masses will take you up in your political carrier. otherwise you are no longer an honourable for there are specific qualities attached to honourability
 
Mi nilimweka chini kuliko hata teja wa pale manzese.
 
Lusinde ni mwanasiasa mchapakazi na hodarii...thats all i know..hzo zingine porojo tu
 
7. sheria ya uchaguzi na sheria za nchi generally zinasema nini kuhusiana na hili?
8. Mpaka sasa amechuliwa hatua gani za kinidham ili kukomesha hali hii?
9. Kwakua aliomba msamaha manake ali/amekubali kua alitenda kosa. Apewe adhabu.
 
what i can say he is "a sun of beach"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…