Hicho chuo in red wanafundisha nini?
Mnamwandama kwa sababu ni Muislaam.............. Wagalatia bana.
mnaona sasa?
kumbe aliwahi kuwa NEC ya CHADEMA?
na alianzia CUF pia....
ha haaa ilikuwaje CHADEMA wakamuingiza NEC yao mtu kama huyu?
Hapana aliyesema sioi ni shoga. Hii movie ilikuwepo hapa JF tangu mwanzo, nadhani yeye lusinde ni member humu na ndiko alikoitoa. Mtizamo wangu tu.
Shemeji wewe ni 'mubaya'...lol!Mnamwandama kwa sababu ni Muislaam.............. Wagalatia bana.
You have EYES but you cant see. Read me between the line..................
Sidhani kama Lusinde ndiye yuko under microscope. Otherwise, utakuwa una-narrow tatizo na kufanya solution isipatikane. Tatizo hapa ni Watanzania wenyewe. Kama walikuwa tayari kuwa pale kusikiliza na kushangilia kwa yale waliokuwa wanayasikia, basi wao ndio wanatakiwa kuwa under microscope. Labda na wale waliomchagua pia. Kumbuka Lusinde ni mwakilishi wa watu na possibly ata-reflect waliomchagua.
Kama hao Watanzania wangekataa kusikiliza matusi, angeyasemea wapi? Ndio maana hata chama chake kinaweza kisimchukulie hatua zozote kwa sababu kinajua wazi walio na tatizo ni akina nani.
Kwa hiyo, badala yake, hotuba yake ya matusi ingekufanya binafsi upende kujua kwa undani baadhi ya mambo ya msingi kuhusu Watanzania waliokuwa wanamsikiliza na kumshangilia kama:
1. Wanazo akili timamu kweli?
2. Kama hawana akili sheria inasemaje kwa mtu asiye na akili?
3. Kama wanazo kwa nini walishangilia matusi yale?
4. Je historia yao ikoje?
5. Malezi yao yalikuwaje?
6. Na mengine ambayo wadau mtapenda kuongezea.
Katikati ya mapaja ya PM hapo kuna nini?
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na watoto Levina Lusinde (kushoto) na Isaya Lusinde kutoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma juzi. Hawa ni watoto wa Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
wana andaliwa kurithi matusi kama ya baba yaooo! Aibu saana...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na watoto Levina Lusinde (kushoto) na Isaya Lusinde kutoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma juzi. Hawa ni watoto wa Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Je hawa watoto wanajua lolote kuhusu baba yao? Na malezi yao yakoje?
Mkuu EMT,
Kumbuka walioenda pale hawakujua kuwa huyu "CHOO CHA CITY" ataporomosha matusi, kwa hiyo sidhani wao kama kwa kwenda pale walifanya makosa kama walikuwa ni mashabiki wa CCM kweli.
Pia kulikuwa na watoto ambao yeye CHOO CHA CITY ilimpasa ajue kabla ya kuanza kutoa harufu chafu ya matusi.
i wonder what brain you got up there.
CV ya profesa Majimarefu hii hapa
Salutation Honourable
First Name: Stephen
Middle Name: Hilary
Last Name: Ngonyani
Member Type: Constituency Member
Constituent: Korogwe Vijijini
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga
Office Phone: +255 784 459090/+255 712 006666
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Kwamndolwa Primary School Primary Education 1970 1976 PRIMARY
CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification No. Issued Expires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
No items on list
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member of NEC 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Regional Economic Secretary 2008
Chama Cha Mapinduzi, CCM Economic Secretary, Korogwe rural 2007
PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition Date Reason Action Taken Issued by
No items on list
Tujiulize kwa cv ya namna hii kuna kitu hapa zaidi ya kuzomea na kugonga meza?
Hili la Lusinde litufanye watz kuangalia upya sifa za mtu kuwa kiongozi na pia kuipa umuhimu kura ya kila mtz ili kuweza kupata viongozi bora.
Ku**dadadeki ni tusi kubwa kwa akina dada. Maana yake ni k**a ya dadake. Sijui hata kama Mods wanajua maana yake maana jana nililitumia makusudi hapa nione kama nitakula ban. Ni sawa tuu na tusi la k**amako kwa akina mama. Tofauti ni kwamba kizazi hiki kipya kimebadilisha na ku**dadadeki kuwa kudededeki kujaribu kupunguza sensitivity ya ku**dadadeke. Lakini ku**dadadeki, kudedeki, ku**dedeki ni sawa na motherf**k. Kama mnakumbuka Joti wa Original Comedy alikuwa analitumia sana hili neno la ku**dedeki na kumpa umaarufu.Kudadadadeki manaake nn?