dropingcoco
Senior Member
- Jun 21, 2008
- 124
- 11
<font size="3">Najua unapita JF kwa hiyo sina wasiwasi na ujumbe wangu huu kwako. Arusha pale soko kuu kuna wimbi kubwa la watoto ambao umri wao unadhihirisha wazi kwamba wanatakiwa kuwa shule, na nahisi wengine wamekimbia shule ili wakafanye biashara ya kuuza mifuko na kubeba vifurushi vya wamama waliotoka kwenye manunuzi hapo sokoni. Wale watoto wanakera sana, na kama mtu unayependa taifa lako huwezi kuona kundi kubwa kama lile la watoto likiwa pale bila kupata elimu wakati tunasema watanzania tunapambana na Ujinga, Umaskini na Maradhi. Kwa mtindo huu ujinga hautakaa uishe hapa nchini. Chama cha magamba kimeshindwa kuwashughulikia, tuna imani na chama chetu cha ukombozi. hivyo basi tungeomba tuone unachukua hatua kama mbunge tulie na imani nae. Na pia sehemu zingine za nchi zenye sura kama hii basi nadhani kilio cha sisi watanzania wenye lengo zuri na nchi yetu kitakuwa kimesikika, na kuweza kuchukuliwa hatua ili tuweze kumshinda huyu adui Ujinga.<br><br>Nawakilisha</font>
Nakupongeza sana kwani hii thread, ni issue na mbunge wetu tunaamini analimudu hata ikibidi atushirikishe.
contact zake kupata sio tatizo, ikishindikana kabisa ndio tutapiga simu, lakini naamini hapa JF kuna makamanda wa kutosha, kina Mnyika, Mdee, Regia na hata rais wetu mtarajiwa yupo, ujumbe utamfikia tu, hata wewe Nanyaro, Kilombero kunakuhusuAsante kwa hilo anaweza pengine asipitie humu , unaweza pia kupata contact yake umpigie kumjuza , Mh. Lema ni msikivu
Mkuu! Nakupongeza kwa thread kwani ina2gusa, na la nyongeza ni pale Mianzini nako ni karaha flu nalo si pa kuacha. NAWAKILISHA!!Najua unapita JF kwa hiyo sina wasiwasi na ujumbe wangu huu kwako. Arusha pale soko kuu kuna wimbi kubwa la watoto ambao umri wao unadhihirisha wazi kwamba wanatakiwa kuwa shule, na nahisi wengine wamekimbia shule ili wakafanye biashara ya kuuza mifuko na kubeba vifurushi vya wamama waliotoka kwenye manunuzi hapo sokoni. Wale watoto wanakera sana, na kama mtu unayependa taifa lako huwezi kuona kundi kubwa kama lile la watoto likiwa pale bila kupata elimu wakati tunasema watanzania tunapambana na Ujinga, Umaskini na Maradhi. Kwa mtindo huu ujinga hautakaa uishe hapa nchini. Chama cha magamba kimeshindwa kuwashughulikia, tuna imani na chama chetu cha ukombozi. hivyo basi tungeomba tuone unachukua hatua kama mbunge tulie na imani nae. Na pia sehemu zingine za nchi zenye sura kama hii basi nadhani kilio cha sisi watanzania wenye lengo zuri na nchi yetu kitakuwa kimesikika, na kuweza kuchukuliwa hatua ili tuweze kumshinda huyu adui Ujinga.Nawakilisha
kweli hii inaumiza kuona watoto ambao walipaswa kuwa shule na badala yake unawaona wanauza mifuko na kubebeshwa mizingo huku wakiambulia malipo ya 300 au 500...ukiwauliza watakupa sababu kama tumefunga shule, tumetumwa na wazazi, wengine wanasema hawana wazazi na wana wadogo zao wanao wategemea hivyo inabidi wahangaike, linalo niumiza ni wazazi kuhusika na hili swala kweli mwanao wa miaka 10 unamtegemea akuendeshee familia yako, hii ni aibu na kukwepa wajibu na kumnyima motto haki zake za msingi… wito wangu wananchi wa Arusha wote tunawajibike kwani tunajua fika elimu ya msingi ni lazima ingiwa hata waoenda wanarudishwa kisa hajatoa mchango wa 200 ya mlizi au ya choo hivyo tuisaidie serikali kwa kuya ripoti mambo haya kwa sehemu husika kama wenyeviti wa mita, madiwani na kwa wabunge…kwasababu tukiangalia sokoni tu tutakuwa hatusaidii sana kwani kuna wengine wanaponda kokoto kule majengo, wengine wana chuma kahawa msimu unapofika, wengine wanasomba maji mitaani hasa kwa watu wana jenga…Najua unapita JF kwa hiyo sina wasiwasi na ujumbe wangu huu kwako. Arusha pale soko kuu kuna wimbi kubwa la watoto ambao umri wao unadhihirisha wazi kwamba wanatakiwa kuwa shule, na nahisi wengine wamekimbia shule ili wakafanye biashara ya kuuza mifuko na kubeba vifurushi vya wamama waliotoka kwenye manunuzi hapo sokoni. Wale watoto wanakera sana, na kama mtu unayependa taifa lako huwezi kuona kundi kubwa kama lile la watoto likiwa pale bila kupata elimu wakati tunasema watanzania tunapambana na Ujinga, Umaskini na Maradhi. Kwa mtindo huu ujinga hautakaa uishe hapa nchini. Chama cha magamba kimeshindwa kuwashughulikia, tuna imani na chama chetu cha ukombozi. hivyo basi tungeomba tuone unachukua hatua kama mbunge tulie na imani nae. Na pia sehemu zingine za nchi zenye sura kama hii basi nadhani kilio cha sisi watanzania wenye lengo zuri na nchi yetu kitakuwa kimesikika, na kuweza kuchukuliwa hatua ili tuweze kumshinda huyu adui Ujinga.
Nawakilisha
Preta kuna kau-kweli siyo ukweli!?Yah.....kuna ka ukweli
Preta kuna kau-kweli siyo ukweli!?