MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
hatuna akili
huo ugonjwa dawa yake ni kuachana na ccm
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....

Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.

Yawezeka unayo lakini ikawa HAINA AKILI,eti?
Umeelewa kilichoandikwa na mleta thread?
Hivi LEMA kapotelea wapi siku hizi?
Maandamano, vurugu na uchozi kimya kabisa siku hizi
Kweli nimeamini ngoma ya kitoto haikeshi.....
muulizeni LEMA ile machinga complex vp?
Mwaka 2010 wakati wa kampeni, ulitoa ahadi ambazo zilisababisha watu wengi wakupe kura nikiwemo mimi.
cha kushangaza mpaka leo(miaka mitatu baadaye) hakuna hata moja iliyotekelezwa.
Vp na lile trekta ulilolitoa kwa wananchi liko wapi?
- Kuhamishia stendi kubwa ya mabasi eneo la ngulelo ili kupunguza msongamano mjini.
- kujenga Machinga complex kubwa katikati ya jiji la Arusha.
- Kuwapa akinamama na vijana mikopo ya kujiendeleza.
CHADEMA na LEMA acheni kudanganya wananchi, msidhani hatuna akili. Tunawangoja kwenye boksi la kura 2015.
JK na ahadi kibao na ana pesa kashindwa kutimiza ije iwe Lema anaye pambana na CCM kila kukicha wanamzuia kutenda kazi zake ? Kweli mavi ni mavi .Chadema washindwe kujibu hoja ? Kweli una akili ila hazina akili

Machinga Complex ishajengwa?We gamba acha upumbavu embu tuache sisi tulomchagua na tunajua alichotufanyia mpaka sasa.
ARUSHA tunampenda Lema na kamwe hatutamchagua mwingne zaidi ya Lema.
Halafu katoka na mpya ya kuweka umeme shule zote za Sekondari za Kata! Heri awe anasafiri na kukaa huko nje, maana akishinda hapa nyumbani haishiwi vioja.
Acha Porojo, sijakwambia ulinganishe ahadi za LEMA na JK? Machinga Complex iko wapi? na Lile Trekta Liko wapi?
aliona ile ya ILALA akajua zinaota kama uyoga.