Mh. Lema amepoteza political credibility

mti wenye matunda mawe ni kawaida, LEMA jembe kanyaga twende, Nyerere alikwishasema lazima kwa ushenzi uliokwishafanyika na CCM mtu awe kama mwendawazimu vile kubadilisha hali. Kiongozi acha wajingaaa wapate cha kushangaa na kusema, wewe mwendo mudundooooo
 
Blahblahblah, Arusha mtaililia sana na mtatoa povu kama hili lako lakini mtaiona kwa macho Kama Musa alivyoambiwa na Mungu kuwa kanani ataiona kwa macho yeye hatafika huko. NA HAKUFIKA, Mbeya na Arusha mtaiona kwa macho tu, ------- maccm.
 
Duuu! Umeyamaliza magamba duuu
 
Kwa habari ya Lema nadhani hujafanya utafiti wa kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…