Akionyesha kumtetea Rais aliyemaliza muda wake na kauli yake "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" kuwa Watanzania hawakumuelewa, huwezi kukaa unasubiria kupata maisha bora bila kufanya kazi.
Hivyo ni Muhimu kutekeleza kauli ya Rais Magufuli ya "HAPA KAZI TU", Kimsingi maisha bora hayawezi kuja bila kufanya kazi, lakini kama kiongozi mkuu wa nchi na "SLOGAN" yake alikuwa na maana ambayo Serikali yake ingeweza kubadirisha maisha ya Watanzania.
Sasa Mh Lusinde kama watu hawajawa na maisha bora, watu hawakumuelewa kweli? kama walimwelewa aliwadanganya?