Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,846
- 28,988
Kweli? Mirembe?......mh!Kaka, huyu jamaa asikuumize kichwa, anafile pale hospitalini.
Kweli? Mirembe?......mh!Kaka, huyu jamaa asikuumize kichwa, anafile pale hospitalini.
Huwa najiuliza wapiga Kura wa Huyu jamaa ni nazi Kaisi Gani...
kweli huyu jamaa ni mpotoshaji kweli, SLOGAN ya kiongozi yeyote lazima ina impact kubwa kwa watu wake. Labda watu walitegemea mabadiliko fulani kwenye biashara zao, kwenye kazi zao, kwenye utendaji wao wa kila siku! wameishia kuona jamaa anaruka majuu kila kukicha!Nafikiri Lusinde amepotosha.... Jukumu la serikali yoyote ni kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya ustawi wa watu wake. Huwezi kuniambia muhitimu wa shahada aliyekulia mjini akalime wkt hujaweka mazingira mazuri huko vijijini...km elimu ya kujiajiri....pembejeo....masoko n.k. Lkn pia serikali inasahau kuwa 80% ya watanzania ni wakulima ...ambao bd wanatumia jembe la mkono ndani ya sera yetu "Kilimo kwanza".
Kwa kuwa ni mazoea kwa wabunge wetu kuitwa hivyo!Unamwita Lusinde Mweshimiwa? Huyu nilimpuuza baada ya kumsifia Mh Zitto Kabwe kuwa alimsaidia pesa alipofiwa na hapo hapo akamtuhumu na kumtukana. Lusinde ana ugonjwa wa Elimu Elimu Elimu.
Akionyesha kumtetea Rais aliyemaliza muda wake na kauli yake "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" kuwa Watanzania hawakumuelewa, huwezi kukaa unasubiria kupata maisha bora bila kufanya kazi.
Hivyo ni Muhimu kutekeleza kauli ya Rais Magufuli ya "HAPA KAZI TU", Kimsingi maisha bora hayawezi kuja bila kufanya kazi, lakini kama kiongozi mkuu wa nchi na "SLOGAN" yake alikuwa na maana ambayo Serikali yake ingeweza kubadirisha maisha ya Watanzania.
Sasa Mh Lusinde kama watu hawajawa na maisha bora, watu hawakumuelewa kweli? kama walimwelewa aliwadanganya?