Mh. kwa speed hii tutafika kweli 2020?

Means hapendi challenges kwenye maisha yake.
 
Usjali....wao wanawahamisha kwa hela sie tunawapata wengine bureeeee.....ngoja hela zikiwaisha hata hao walioondoka watarudi na kukuta wengine wengi wapya wameongezeka......

Mapambano yataendelea mpaka Uhuru wa nchi upatikane....

Nyerere alimtoa mkoloni ila sisi tutalitoa hili jinamizi linalokandamiza maisha ya watu nakuwanyonya kisha kuwaacha maskini wakutupwa.
 
 
Ili tuishi kwa amani, kila mtu afuate moyo wake. Watu wanampenda Magufuli waache waende.
 
kazi yenu ni kununua.
Mku hatununui ila naona wanakuja kuandaa uasi huku kwetu. Si unajui Sisi uliopo ndani hatudhamini tena ndo tunawapokea kwa mbwembwe kumbe mengine ni boroka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…