Mh Kessy analipuka Bungeni

Sitta anazidi kumshambulia mh Kessy,analazimishwa kurekebisha kauli zake.
 
Kessy katoa facts sio mipasho....ni kweli wazenj tunawalisha km wake zetu

Jamaa ameongea facts kwakweli...hao waliokuwa wanamjibu ndo walikuwa wanapasha....kila time wanaomba miongozo wakati kila kitu kiko wazi...hadi inakera yani
 
Na hatimae kessy aomba msamaha,naona presha kubwa sana imekua applied,kama ile iliyokua applied kwa Reagan alipojaribu kwenda kinyume na ruling elite.
 
Aliyoyasema hayana ukweli?Jifunze kuwa muungwana.

kiswahili kinakupiga chenga baadhi ya maneno ya Kessy yana uungwana gani. hakuna hoja tena hapa kesy kaomba radhi kwa baadhi ya maneno yake na huo ndo UUNGWANA
 
Kessy mzanzibari mi nawafahamu vizuri sana. Atakua katumwa huyo.
 
Watambana Kessy lakini ukweli umeshajulikana na utaendelea kujulikana.
 
Wazenj wameshikwa nyeti zao......Lakini message tayari sent!
 
Chadema maandamano lini siku zinayeyuka jamaa wanazidi kutuumiza kwa kodi zetu au nanyie mnatudanganya?
 
Kessy katoa facts sio mipasho....ni kweli wazenj tunawalisha km wake zetu

Wazanzibari wanapenda vya bure sana,tunawalisha,tunawavisha,tunawapangia cha kufanya,yani ni kama wake zetu[actually ni wake zetu],nyumba ndogo zetu. Wasifikiri hivi tunawapa bure,itafika muda tutaamua kwenda kuwapumulia visogoni live,si wanapenda kuhongwa,wategemee kulipa. No free lunch,wategemee hilo.
 
Wazanzibari wachangie vipi vitu vya kujiundia vodafasta. Bajeti tofauti na mambo yanayofanyika, tuchangeni sis tuliokubali
 
Kessy ni mbunge anayejitambua sio hao misukule ya CCM inakwenda kutuuza kwa wazanzibar
 
Tuache unafiki Mzee Kessy ameongea ukweli ndo maana wazanzibar wamechukia lakini ujumbe umefika hatuwezi kuwabeba tena watu wasiobebeka tena kila mtu abaki kwake namuunga mkono mzee Mzee Kessy kila mtu achukue mzigo wake.
 
Chadema maandamano lini siku zinayeyuka jamaa wanazidi kutuumiza kwa kodi zetu au nanyie mnatudanganya?
maandamano ya chadema yapo pale pale tupo kwenye maandalizi ya mipango tukishamaliza tunaitisha mkutano wa kuelezea hayo maandamano yataanzia wapi na kuishia wapi lazma tuandamane nchi nzima VIVA CHADEMA
 
Kessy amesena ukweli bila kumumunya maneno,Wazanzibari walikuwa wapole.Tanganyika ina kila dalili za kurejea
 

Elimu yako low sana huna akili
 
Mimi naona wamemlazimisha Kessy kutengua kauli lakini sio kutengua ukweli.
 

You Don't Deserve To Be Free.lunatic kama wewe unatakiwa ukae kwenye cave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…