Charlton
Member
- Jan 31, 2014
- 6
- 3
Mbunge wa Urambo Magharibi Mh.Kapuya amsifu Mbunge wa Mtama Mh.Membe kwa kupingana na matumizi ya pesa katika kutafuta uongozi.Mh.Kapuya aliyasema maneno hayo baada ya kauli ya Mh.Membe aliyoitoa jana alipotoka kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Ccm.Alisema,namnukuu,"Mh.Membe kaongea vizuri.Hatuwezi kugawa uongozi kwa mtu anayeamini katika rushwa.Urais sio sawa na njugu inayoweza kununuliwa hata dukani.Namuunga mkono Mh.Membe".Kauli hii ya Mh.Kapuya imekuja baada ya masaa machache nyuma Mzee Msindai tangu atoe kauli ya kumjenga Mh.Membe kisiasa kuelekea 2015.Nasi tusubiri aoteshwe.