Mh. Kangi Lugola Imulike Idara ya Uhamiaji

Wendo Kiwere

New Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
1
Reaction score
1
Zile Work permits ambazo si za lazima kwa wageni, bado zinatengenezwa mtaani, hasa kinondoni na Sinza. Maofisa wa uhamiaji mkishirikiana na wale wa idara ya Kazi na vishoka wenu,inaonekana mnachezea ndevu za Bwana Mkubwa. Tutawaumbua na hao Wakenya, Wakongoman na Wanaigeria wenu. Hawaitajiki kwa kazi hizi wapo wa TZ wa kutosha kuzifanya. Tutamwagika baadae
 
Kamwone Waziri Na taarifa zote ukiona mbali nenda nazo kwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Na details zote andika weka kwenye flash mkabidhi hata secretary .Huhitaji kuongea Na wewe kama hana nafasi lakini nikuhakikishie zikiwa za uhakika zikaonekana kweli utatafutwa hata kutupwa kimya kimya au wazi
 
Back
Top Bottom