Mbona kiherehere? Mngesubiri
Pamoja sana, muda si mrefu tutakuwa pamoja. Kaeni mkao wa kulaLeo kuna mkutano wa kihistoria utakao fanyika katika viwanya vya shule ya msingi Leganga. Mkutano huo utakua maalumu kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wananchi wa Arumeru Mashariki na Watanzania wote kwa ushirikiano wao na kupiga hatua katika kuleta mabadiliko.
Wakuu kuna mvua kubwa sana inanyesha sasa hivi hapa leganga. Watu ni wengi sanaNimeona bango limeandikwa tumelitoa jini ccm Arumeru. Pia watu wanaimba Sioi tumemuoa.
Pamoja na mvua kubwa inayoendelea kuna hotuba zinaendelea. wanashukuru wananchi kwa kuwashikisha adabu ccm.Wakuu kuna mvua kubwa sana inanyesha sasa hivi hapa leganga. Watu ni wengi sana
Ameteuliwa na wananchi wa Arumeru Mashariki.Mbunge mteule ameteuliwa na nani?
Mbunge mteule ameteuliwa na nani?
Mbona kiherehere? Mngesubiri
Mbunge mteule ameteuliwa na nani?
Tamu kwelikweli