Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
inaelekea umetokea kwenye vibanda vya gongo ukakosea njia ukaja hukuMtoa Mada ni Pa.mba fu kabisaaa!!! sijui akili yako inafikiri kwa kutumia makaliooo!!!!!!!!!!
inaelekea umetokea kwenye vibanda vya gongo ukakosea njia ukaja hukuMtoa Mada ni Pa.mba fu kabisaaa!!! sijui akili yako inafikiri kwa kutumia makaliooo!!!!!!!!!!
Mnyika alisema akichaguliwa mwezi mmoja ataleta maji ubungo asikwepe hoja zake na kuanza kudandia yasiyo mhusu maji kwanza ubungo hatutaki porojo.
Nikweli mkuu maji ni muhimu sana Ubungo!!!!! Hivi Mnyika ni Waziri wa maji au ni Mkurugenzi wa DAWASCO? Huwa nachanganya sana mkuu naomba unifafanulie
Kama kuna sheria inayo-support hoja yake, angekwenda mahakamani. Bungeni itaamuliwa kishabiki kwa kutumia wingi wa maccm.Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh John Mnyika amewasilisha kwa katibu wa bunge taarifa ya hoja binafsi kuhusu kile alichodai kuwa ni udhaifu wa mchakato wa mabadiliko ya katiba ili bunge lijadili udhaifu wa ukiukwaji wa sheria katika mchakato huo ili lipitishe azimio la kuahirisha mchakato huo mpaka madhaifu ya msingi yatakaposhughulikiwa.
Akizungumzana ITV katika ofisi za bunge Mh Mnyika pia amemtaka rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuheshimu makubaliano ya viongozi wa vyama vya siasa kwa kuwa kuendelea na mchakato huo si tu kukiuka makubaliano ya TCD bali pia ni kukiuka sheria zilizouanzisha mchakato huo.
Chanzo: ITV