Mh! JAMANI NI PULL-TABLE AU?

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
Kucheza pull-table vipira huingia kwenye shimo na fimbo kubaki.Kuna mchezo mwingine ambao fimbo huingia kwenye shimo na vipira viwili kubaki,huu mchezo unaitwaje?
 
Mh, hii ni kama inahusika na lile jukwaa la wakubwa! Poa Ngoja ihamishiwe kule nikujibu.
 
Kucheza pull-table vipira huingia kwenye shimo na fimbo kubaki.Kuna mchezo mwingine ambao fimbo huingia kwenye shimo na vipira viwili kubaki,huu mchezo unaitwaje?
Kama huu mchezo wa vipira kuingia shimoni na fimbo kubaki juu unaitwa pull- table, mchezo mwingine ambao fimbo hingia kwenye shimo na vipira viwili kubaki juu huitwa push- table
 
hahaha. . . haitakua tena pull-table, though tunajua ni 'pool-table' itakua 'push-bed'
 
hahaha. . . haitakua tena pull-table, though tunajua ni 'pool-table' itakua 'push-bed'
Sikupenda kusahihisha 'pull-table' kama ulivyofanya. Nilitumia hilo kosa kucheza nalo ndo maana nikapata 'push-table' A kind of reverse punning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…