Mh. Jaji Lubuva amewaza nini?

Stan9029

Member
Sep 20, 2016
56
45
Naleta kwenu ilituweze kujadili kwa pamoja, Mh. Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC ameyatoa ya moyoni akikosoa mfumo mzima wa tume ya taifa ya uchaguzi yaani NEC, nina maswali mengi ya kumuuliza je?
…Hakunaliona hili kabla ya uchaguzi mkuu uliopita?
…Atawezaje kuleta mabadiliko ya mfumo bila kuwa na tume huru?
…Kwanini hajagusia mabadiliko ya katiba?
 
Hataki kuenda motoni mwenyewe, ndo maana kaona awashirikishe wengi dhambi yake ya kutangaza figure za kupika. Awe akisema kuwa hahusiki bali majimboni ndo kuna tarakimu hewa. Pole zake. Yaani na uzee ule, ufundishwe jinzi ya kubadili tarakimu?? Kwa faida ya nani?? Unajua kabisa kuwa flan ndiye mshindi ila ulimpindua?? Inauma kuliko ile ya Gechaaa kule kwenye marashi aiseee.
 
Huku chuga tunawaita wazee wanaa. Alitegemea kick gan uzeen.hapa kasi tu mzee.na ukizngua tutakupga bench
 
Naleta kwenu ilituweze kujadili kwa pamoja, Mh. Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC ameyatoa ya moyoni akikosoa mfumo mzima wa tume ya taifa ya uchaguzi yaani NEC, nina maswali mengi ya kumuuliza je?
…Hakunaliona hili kabla ya uchaguzi mkuu uliopita?
…Atawezaje kuleta mabadiliko ya mfumo bila kuwa na tume huru?
…Kwanini hajagusia mabadiliko ya katiba?

inaonesha hujitambui, jaji katoa mapendekezo ktk kuboresha tume, kwa mtu anayejitambua sioni tatizo hapo, ni maoni ya kuboresha tume na ni mazuri,step by step,au ulitaka ibaki vilevile? koz siku hizi mnalalamika sana kwa keyboard.
 
Unaejitambua hizi kasoro uliziona mapema bla kufanya hayo maboresho. Mrisubiri kufanikisha mlilotazamia ndio mtueleze hizo kasoro??.Wanaaa wachumia matumbo nyie.
 
Subiri zam yenu inakuja tu, mlitegemea kulipwa fadhila ndo kwanza namba znazdi kusomeka stay calm.
 
Kwakweli Mungu anisamehe huyu mzee huwa namuombea mabaya sana.

Ningesikilizwa sasa hivi angeshakuwa kasahaulika.
 
Nilitaka kumtukana ila nikaona Nitakuwa najidhalilisha

Ok Buana mi nakutakia maisha mema Mh Lubuva
 
Back
Top Bottom