Mh. Jaji CHipeta afariki dunia

Mh. Jaji CHipeta afariki dunia

Kulya

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2011
Posts
371
Reaction score
153
HABARI zilizopatikana hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania,Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita.

Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji Chipeta alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kisukari ambapo ilifikia wakati akalazimika kukatwa vidole kadhaa vya miguuni.

Enzi za uhai wake, Jaji Chipeta aliweza kujijengea heshima katika kazi yake na kufikia kuwa mmoja wa majaji wanaoheshimika mno hapa nchini.

Pia Jaji Chipeta aliwahi kuwa miongoni mwa majaji wa Tume ya kurekebisha Sheria yeye akiongoza kanda ya Dar es Salaam.

MICHARAZO inaungana na familia ya marehemu katika kipindi hiki cha majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao na kuwaombea kwa Allah Subhana Wataala kuwa na subira na uvumilivu kwa kuamini kuwa kila nafsi itaonja mauti na kurejea kwa aliyetuumba. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.

Source: MICHARAZO MITUPU: Pigo! Jaji Chipeta afariki dunia
 
Poleni sana familia ya Jaji Chipeta pamoja na wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja au nyingine.
 
HABARI zilizopatikana hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania,Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita.

Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji Chipeta alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kisukari ambapo ilifikia wakati akalazimika kukatwa vidole kadhaa vya miguuni.

Enzi za uhai wake, Jaji Chipeta aliweza kujijengea heshima katika kazi yake na kufikia kuwa mmoja wa majaji wanaoheshimika mno hapa nchini.

Pia Jaji Chipeta aliwahi kuwa miongoni mwa majaji wa Tume ya kurekebisha Sheria yeye akiongoza kanda ya Dar es Salaam.

MICHARAZO inaungana na familia ya marehemu katika kipindi hiki cha majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao na kuwaombea kwa Allah Subhana Wataala kuwa na subira na uvumilivu kwa kuamini kuwa kila nafsi itaonja mauti na kurejea kwa aliyetuumba. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.

Source: MICHARAZO MITUPU: Pigo! Jaji Chipeta afariki dunia

MUNGU mpumzishe kwa amani!
 
jamani nimepata mshtuko kwakweli, RIP jaji Buxton Chipeta, pole da Suzy kwa kuondokewa na baba
HABARI zilizopatikana hivi
punde zinasema kuwa aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania,Buxton
Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita.

Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji Chipeta alikuwa akisumbuliwa na
maradhi ya kisukari ambapo ilifikia wakati akalazimika kukatwa vidole
kadhaa vya miguuni.

Enzi za uhai wake, Jaji Chipeta aliweza kujijengea heshima katika kazi
yake na kufikia kuwa mmoja wa majaji wanaoheshimika mno hapa nchini.

Pia Jaji Chipeta aliwahi kuwa miongoni mwa majaji wa Tume ya kurekebisha
Sheria yeye akiongoza kanda ya Dar es Salaam.

MICHARAZO inaungana na familia ya marehemu katika kipindi hiki cha
majonzi ya kuondokewa na mpendwa wao na kuwaombea kwa Allah Subhana
Wataala kuwa na subira na uvumilivu kwa kuamini kuwa kila nafsi itaonja
mauti na kurejea kwa aliyetuumba. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali
pema.

Source:
MICHARAZO
MITUPU: Pigo! Jaji Chipeta afariki dunia
 
Ndiye huyu alikuwa mwenyekiti wa BODI ya TCRA ?
 
No man knows his destiny! I had him in lecture just last week. May his soul rest in eternal peace learned Judge Buxton. You were among a few of them who volunteered to impart legal knowledge to others at all times! Its true, you were not in a good health condition, but you still had time to share with us your brainy increment in legal profession with excellency, of course.

To my opinion, you've fulfilled your God's purpose for creation.

We're already missing you.

R.I.P Hon. Judge B. D. Chipeta.
 
Back
Top Bottom