mwikumwiku
Senior Member
- Jul 15, 2011
- 153
- 35
Naangalia this week perspective tbc! Kuna mbunge wa nccr hapa anaunga kingereza mbaya! Ama kweli...,,
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, yeah we need to manufacture schools first and zen we manufacture teachers and finally we will manufacture good resultsManufacturing of teachers
Naangalia this week perspective tbc! Kuna mbunge wa nccr hapa anaunga kingereza mbaya! Ama kweli...,,
toa ushauri kipindi hicho kiendeshwe kiswahili.mkuu, hv hukuwahi kuambiwa au kusikia kuwa kuongea kiingereza kwa watz walio wengi ni janga la kitaifa!? Nilikuwa naangalia hicho kipindi hiyo jana, kwa kweli kilikuwa kinatia kichefuchefu!
Mkuu hata hapa Jf!! Chunguza kwa umakini utagundua ninachokiongea!!Kuna watu bado wanaamini kuwa mtu anayeweza kuongea kiingereza sahihi basi huyo anajua kila kitu.
Hayo ni majungu,Dogo yupo kamili sana,nimemkubali