Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Kuna mawili hapo, kama ukifikiria nje ya box la BRN...
1. Aliyeshika shati ni mtu wa Asia.
2. Ramani ni ya Afrika.
Umeelewa mchungaji?
Imechapwa wapi? Nadhani Tanzaniamaana elimu yetu inatupeleka pabaya
Mbona anaonekana kama Mzungu?...
Au ni wale makomandoo wa Nepal waliokamatwa Bongo?
labda jina la mtu