Mh.Halima James Mdee na Community loan

Mh.Halima James Mdee na Community loan

deserve

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Mwenye kujua habari kuhusu community loan atujuze tusije kutapeliwa maana naona inapostiwa na wall ya Halima Mdee mara kwa mara akitusii tujiunge ili kujikomboa na mikopo yenye riba nafuu na maswali tunayouliza hatujibu he kweli ni Halima Mdee ndo ana post au ni mtu anatumia jina lake Mhe. HALIMA MDEE TUWEKE WAZI NI WEWE NDO UNAPOST na inawezekanaje mkopaji ndo alipe VAT ya mkopo? Na maelezo ya VAT hayapo mpaka mtu atume akiba yake ndo anaambiwa atume na VAT tuondoeni wasiwasi wenye taarifa
 
Tunaomba wenye taarifa kabla watanzania wenye hali ngumu hatujaumia
 
Mwenye kujua habari kuhusu community loan atujuze tusije kutapeliwa maana naona inapostiwa na wall ya Halima Mdee mara kwa mara akitusii tujiunge ili kujikomboa na mikopo yenye riba nafuu na maswali tunayouliza hatujibu he kweli ni Halima Mdee ndo ana post au ni mtu anatumia jina lake Mhe. HALIMA MDEE TUWEKE WAZI NI WEWE NDO UNAPOST na inawezekanaje mkopaji ndo alipe VAT ya mkopo? Na maelezo ya VAT hayapo mpaka mtu atume akiba yake ndo anaambiwa atume na VAT tuondoeni wasiwasi wenye taarifa
Hii ni tofauti na Benk ya CCM aliyotapeliwa Kikwete
 
Back
Top Bottom