Mh! Eti Mapenzi wanastahili matajiri!

Hamna kitu kama hicho, tena usitukane watu wewe! Kwani mapenzi ni utajiri au. Mapenzi hisia tu kwa mtu. Haya mambo ya mapenzi pesa, moyo kupump damu ni slang za twn tu. Usiyaongee haya kwenye nchi kama hii ya watu waishio chini ya dola moja kwa siku na sh. iporomokayo thamani kila siku.Mbona kuna masela kibao uswahilini wasio na pesa kabisa af wanawala watoto wa vigogo? Ukweli utabaki palepale
 
Mbona hata hao matajiri wengi wao hawana pumzi kunako mechi hadi wanasaidiwa na wajakazi..
 
Tena utakuta huyu btchi anatombhwa na kapuku tu…………

Hata huyo msichana atakuwa kapuku tu..most of broke girls like to talk this nonsense..rich girls don't talk rubbish
 
Hata huyo msichana atakuwa kapuku tu..most of broke girls like to talk this nonsense..rich girls don't talk rubbish

Hawajui pesa inapatikana vip, girl yake Dicky tu, halafu huyu boya kamgeza kapuku mmoja wa kenya nae aliwahi sema somthng like that.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…