Lowassa: Nina watu si fedha
na Danson Kaijage | Tanzania Daima
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa amesema hana fedha wala si tajiri bali ushawishi mkubwa alionao na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndivyo vinavyomng'arisha.
Kauli hiyo aliitoa jana wakati wa uzinduzi wa Jumuiya ya Akiba, Mikopo na Maendeleo Dodoma (Jamimado) katika viwanja vya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Lowassa anayetajwa kuwa miongoni mwa wagombea urais mwaka 2015 kupitia CCM, ambaye amekuwa akiandamwa kwa kufanya siasa kwenye makanisa, alisema amekuwa akifanya kazi kubwa ya kuchangia masuala ya maendeleo katika vikundi mbalimbali kwa lengo la kuwakwamua katika umasikini.
"Najua mmenipa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jumuiya ya Jumimado kwa kuwa mnajua ninachokifanya kwingine. Sina fedha, lakini nina ushawishi mkubwa kwa watu na wengi wananiunga mkono," alisema.
Aliwataka wanajumuiya hiyo kujipanga ili wafanye harambee waweze kupata fedha zaidi ya sh milioni 500 na kwamba hilo linawezekana.
"Nataka tukifanya harambee iwe babu kubwa ili kila mtu ajue tumefanya nini, na nilitamani tufanye harambee hiyo kabla ya mwisho wa mwaka huu. Unajua ukiwawezesha akina mama umeliwezesha taifa na utakuwa umeondoa umasikini," alisema.
Lowassa alisema ameamua kutoa sh milioni 10 kwa ajili ya maandalizi ya harambee itakayokuwa na tija pamoja na kuutunisha mfuko wa jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Aksa Lemwayi katika risala yake alimmwagia sifa lukuki Lowassa kuwa wanamtambua ni baba wa kupinga umasikini katika maeno mbalimbali hapa nchini.
"Tunatambua jinsi anavyosimamia na kutekeleza maamuzi yake katika shughuli za kimaendeleo, amekuwa ni kiongozi wa aina yake katika kutambua na kuthamini shughuli za maendeleo katika jamii," alisema.
Aliongeza kuwa Lowassa amekuwa ni kiongozi anayepigana kufa au kupona kuhakikisha jamii inaondoka kwenye lindi la umasikini.
Lemwayi alisema wanajisikia furaha na ufahari kumualika Lowassa kwenye uzinduzi wa jumuiya hiyo.
Alisema kuwa jumuiya hiyo kwa sasa inakabiliwa na changamoto za kukosekana kwa usafiri kwa wanachama wanaotoka maeneo mbalimbali nje ya mji.
Alibainisha kukosekana kwa usafiri kunafanya shughuli za jumuiya hiyo ikiwemo vikao vya mara kwa mara kushindwa kutofanyika au kufanyika kwa wakati usiostahili.
Lemwanyi aliziomba taasisi za kifedha zipanue mitandao katika kutoa mikopo yenye riba nafuu ili kuwawezesha Watanzania wengi kujikwamua katika dimbwi la umasikini ambao kwa sasa ni kilio kikubwa kwa wananchi wengi.
Jamii01, fuatilia thread za Lowassa humu utaziona mpaka mali zake zimeorodheshwa!. Lowassa ni tajiri wa ukweli aliyepata mali zake zote kihalali na ndio maana amezisajili zote kwa jina lake na la mkewe Rejina!.Najiuliza na kukosa majibu Mh.Lowasa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge,nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo nakatika taasisi binafsi na zamakanisa.Huyu mweshimiwa pesa anazitoa wapi?je alikwisha tangaza mali zake hadharani?na kipato chake kiko vipi?Alipokuwa waziri katika awamu ya tatu kwa nini akufanya hivyo?na alipokuwa waziri mkuu kwa nini alishidwa kufanya hivyo?Na kwa nini safari zake na hotuba zake zinapewa umuhimu mkubwa katika vyombo vyetu vya habari?
Mungi, asante kwa hili, Lowassa ni mkweli!. Umiliki wake ni halali ndio maana anatumia majina yake!. Kule CCM kuna mijizi kibao iliyokwapua mali ya umma na kujimilikisha kwa kutumia majina ya ndugu na jamaa zao hivyo Lowassa kuonekana kama ndio fisadi!.Lowassa ni Tajiri sana hata kabla hajawa waziri mkubwa. Nitashangaa kama tajiri anaulizwa kuwa pesa anatoa wapi. Tatizo la Lowassa na baadhi ya viongozi wengine matajiri ni pale wanaposhindwa ku declare interests zao in time. EL anamiliki ma estate nyingi hapa Arusha, ana Shares kubwa kwenye makampuni ya utalii kama vile Leopard nk.
Jamii01, fuatilia thread za Lowassa humu utaziona mpaka mali zake zimeorodheshwa!. Lowassa ni tajiri wa ukweli aliyepata mali zake zote kihalali na ndio maana amezisajili zote kwa jina lake na la mkewe Rejina!.
Ila hakuna ubishi CCM imegubikwa na ufisadi hali inayopelekea kila yeyete mwenye chochote kitu kuonekana fisadi.
Lowassa ni miongoni mwa wanaitwa mafisadi wakuu kufuatia kukubali kulibeba lile zigo kubwa la Richmond ili kumnusuru best wake na chama chake na aibu ya mwaka, hivyo yeye kuchafuka kwa kukubali kujitwisha msalaba wa ukombozi na salama ya CCM!.
Anachokifanya huko makanisani na kwenye michango mbalimbali ni kuonyesha uwezo wake kwenye kitu kinachoitwa mass mobilization kwa ajili ya kujiletea maendeleo, kitu ambacho JK ameshindwa kabisa!.
Hilo la kuandikwa magazetini, na kwenye vyombo vya habari, ni kufuatia EL kuwa na mvuto wa ajabu uliotoka kwa Mungu. Kila asemalo linamantik kwa hali ilivyo sasa!. Lowassa ni photo genic!, akipigwa picha anapendezea!, akiongea anavutia kumsikiliza!, na kikubwa zaidi yeye sio mtu wa maneno maneno na vitendo sifuri kama JK, yeye ni mtu wa maneno mafupi na vitendo virefu.
Wakuu wengi waliopo wakisikia JK atatembelea mahali, huandaa taarifa safi, mkuu akifika, akishasomewa taarifa, hupiga makofi na kuendelea na ziara!. Enzi za Lowassa akishasomewa taarifa huipokea na kuelekea physically kuyaangalia hayo yaliyozungumziwa!. Hivyo watu wakisikia JK anakuja, hukaa miguu juu, ila wakisikia ni Lowassa!, kijasho huwa kinawatoka maana jamaa hakubali kabisa longo longo yoyote!.
Ni kufuatia utendaji huu ndio maana mimi na wenzangu wachache humu jukwaani, tumeamua kujitolea kumsafisha Lowassa na ule uchafu wa Richmond, tunamtaka alitue hilo zigo amkabidhi mwenyewe, na yeye ndie ateuliwe kuwa mgombea wa CCM tumpigie debe, aingie Ikulu!.
Mungi, asante kwa hili, Lowassa ni mkweli!. Umiliki wake ni halali ndio maana anatumia majina yake!. Kule CCM kuna mijizi kibao iliyokwapua mali ya umma na kujimilikisha kwa kutumia majina ya ndugu na jamaa zao hivyo Lowassa kuonekana kama ndio fisadi!.
CCM kuna vifisadi, mafisadi na mifisadi!. Kati ya wote hao, Lowassa ndio mtakatifu wao pekee atakayeikomboa Tanzania na ule "ukombozi wa pili"!.

pasco una mahaba na lowassa,lowassa alishindwa kumwambia nyerere alivyopata mali zake!na huoni kumiliki hayo makampuni akiwa kiongozi mwandamizi serikalini kuna conflict of interest au undue influence?
Unapumuliwa kisogoni ww kanjanja njaa!!!Jamii01, fuatilia thread za Lowassa humu utaziona mpaka mali zake zimeorodheshwa!. Lowassa ni tajiri wa ukweli aliyepata mali zake zote kihalali na ndio maana amezisajili zote kwa jina lake na la mkewe Rejina!.
Ila hakuna ubishi CCM imegubikwa na ufisadi hali inayopelekea kila yeyete mwenye chochote kitu kuonekana fisadi.
Lowassa ni miongoni mwa wanaitwa mafisadi wakuu kufuatia kukubali kulibeba lile zigo kubwa la Richmond ili kumnusuru best wake na chama chake na aibu ya mwaka, hivyo yeye kuchafuka kwa kukubali kujitwisha msalaba wa ukombozi na salama ya CCM!.
Anachokifanya huko makanisani na kwenye michango mbalimbali ni kuonyesha uwezo wake kwenye kitu kinachoitwa mass mobilization kwa ajili ya kujiletea maendeleo, kitu ambacho JK ameshindwa kabisa!.
Hilo la kuandikwa magazetini, na kwenye vyombo vya habari, ni kufuatia EL kuwa na mvuto wa ajabu uliotoka kwa Mungu. Kila asemalo linamantik kwa hali ilivyo sasa!. Lowassa ni photo genic!, akipigwa picha anapendezea!, akiongea anavutia kumsikiliza!, na kikubwa zaidi yeye sio mtu wa maneno maneno na vitendo sifuri kama JK, yeye ni mtu wa maneno mafupi na vitendo virefu.
Wakuu wengi waliopo wakisikia JK atatembelea mahali, huandaa taarifa safi, mkuu akifika, akishasomewa taarifa, hupiga makofi na kuendelea na ziara!. Enzi za Lowassa akishasomewa taarifa huipokea na kuelekea physically kuyaangalia hayo yaliyozungumziwa!. Hivyo watu wakisikia JK anakuja, hukaa miguu juu, ila wakisikia ni Lowassa!, kijasho huwa kinawatoka maana jamaa hakubali kabisa longo longo yoyote!.
Ni kufuatia utendaji huu ndio maana mimi na wenzangu wachache humu jukwaani, tumeamua kujitolea kumsafisha Lowassa na ule uchafu wa Richmond, tunamtaka alitue hilo zigo amkabidhi mwenyewe, na yeye ndie ateuliwe kuwa mgombea wa CCM tumpigie debe, aingie Ikulu!.
Mungi, asante kwa hili, Lowassa ni mkweli!. Umiliki wake ni halali ndio maana anatumia majina yake!. Kule CCM kuna mijizi kibao iliyokwapua mali ya umma na kujimilikisha kwa kutumia majina ya ndugu na jamaa zao hivyo Lowassa kuonekana kama ndio fisadi!.
CCM kuna vifisadi, mafisadi na mifisadi!. Kati ya wote hao, Lowassa ndio mtakatifu wao pekee atakayeikomboa Tanzania na ule "ukombozi wa pili"!.
kundi genge nyuma yake linajiita "friends of lowassa" ndio linalowezesha hayo mamilioni ya lowassa makanisani,cha kujiuliza kama kweli Lowassa ana nia ya kugombea urais then (mungu apishie mbali)akaupata,hawa jamaa atawalipa vipi?atafanya biashara gani pale ikulu itakayomuwezesha kuwalipa hawa marafiki zake????
Jamii01, fuatilia thread za Lowassa humu utaziona mpaka mali zake zimeorodheshwa!. Lowassa ni tajiri wa ukweli aliyepata mali zake zote kihalali na ndio maana amezisajili zote kwa jina lake na la mkewe Rejina!.
Ila hakuna ubishi CCM imegubikwa na ufisadi hali inayopelekea kila yeyete mwenye chochote kitu kuonekana fisadi.
Lowassa ni miongoni mwa wanaitwa mafisadi wakuu kufuatia kukubali kulibeba lile zigo kubwa la Richmond ili kumnusuru best wake na chama chake na aibu ya mwaka, hivyo yeye kuchafuka kwa kukubali kujitwisha msalaba wa ukombozi na salama ya CCM!.
Anachokifanya huko makanisani na kwenye michango mbalimbali ni kuonyesha uwezo wake kwenye kitu kinachoitwa mass mobilization kwa ajili ya kujiletea maendeleo, kitu ambacho JK ameshindwa kabisa!.
Hilo la kuandikwa magazetini, na kwenye vyombo vya habari, ni kufuatia EL kuwa na mvuto wa ajabu uliotoka kwa Mungu. Kila asemalo linamantik kwa hali ilivyo sasa!. Lowassa ni photo genic!, akipigwa picha anapendezea!, akiongea anavutia kumsikiliza!, na kikubwa zaidi yeye sio mtu wa maneno maneno na vitendo sifuri kama JK, yeye ni mtu wa maneno mafupi na vitendo virefu.
Wakuu wengi waliopo wakisikia JK atatembelea mahali, huandaa taarifa safi, mkuu akifika, akishasomewa taarifa, hupiga makofi na kuendelea na ziara!. Enzi za Lowassa akishasomewa taarifa huipokea na kuelekea physically kuyaangalia hayo yaliyozungumziwa!. Hivyo watu wakisikia JK anakuja, hukaa miguu juu, ila wakisikia ni Lowassa!, kijasho huwa kinawatoka maana jamaa hakubali kabisa longo longo yoyote!.
Ni kufuatia utendaji huu ndio maana mimi na wenzangu wachache humu jukwaani, tumeamua kujitolea kumsafisha Lowassa na ule uchafu wa Richmond, tunamtaka alitue hilo zigo amkabidhi mwenyewe, na yeye ndie ateuliwe kuwa mgombea wa CCM tumpigie debe, aingie Ikulu!.
AK 2015 si mbali kama udhaniavyo, in just a twinkling of an eye 2012 will be right before you, na ukumbuke maandalizi yanahitajika ili 'uonekane' kwa hiyo usishangae watu walianza kupigana vikumbo mara tu baada ya 'uteuzi' wa 2010aisee, nimekumbuka sredi moja ya MS ulipokiri kuwa weye u-mutu ya bahasha bin mishiko!!! teh teh.................... aisee, kweli hapa mujini, kila mutu itie akili yake kumukichwa!!!!....................... but, jamani, mbona 2015 bado mbali???....................... tutafika kweli???.........................