True!!
Mabbe Zitto asked him to, but thats a punk move right there!!
The dude looks desperate, kneeling down for attention, signing for vote of no confidence, calling out Mwanakijiji on National Tv ..... I bet he'll do whatever Zitto ask him to.
sasa unadhani atafukuzwa chamani
Lema anasema Dar es Salaam kuna watu milioni 5 nataka kila mmoja atoe 500.
Kasahau kwenye hiyo milioni 5 kuna watoto wadogo, vipofu, wehu, masikini wakutupwa ambao wanaitaji misaada..
aliwaambieni muache utoto mkataka kumpiga......
Habari ambazo hazijadhibitishwa ni kuwa Mukama na Nape wako kwenye kikao cha dharula kumjadili Deo na jinsi ya kuwazuia wabunge wengine wa Magamba 160 ambao Intelijensia ya CCM imegundua wako tayari kuchangia M4C.
(joke) tehe tehe tehe!
oh my god!! Never let this happen again! Nooo.. Chama i know that dawa is msitu wa pande... Kama ilivyo kawaida yenu. The day will come.. Noooooo!
Waw! Mag3, that is the right answer in the right time to the appropriate person!Poor Chama! Are you sure? FYI you have been kissing lots and lots of asses recently for that's the only way CCM can survive...kissing stinking asses of mafisadi left, right and centre, do you want names? I bet you dont!
Oh!Chama, in the red, is it a typing error?we are just gonna show him much loves before we lead him to the exist door!
Chama
Gongo la mboto DSM
Tunajua unatupenda na hakikika nasi tunakupenda na kukuheshimu. Ahsante kwa mchango wako wa m4c leo hapa serena dar. Tumekukubali mkubwa. Wengine fuateni mkondo. Once again thank you very, very much. Peoples power. Salute.
Oh!Chama, in the red, is it a typing error?
Ndugu Deo Filikunjombe ana busara kubwa,watanzania tunatakiwa kumuunga mkono kwa hali iwayo yote,anachopigania ni maendeleo ya kweli kwa watanzania wote bila kujali itikadi za vyama. M4C inaendelea kuzaa matunda mema,
ndio maaana nasema ccm inaupendo kwa kila chama
kama wana upendo wasingemlimboka bro ULIndio maaana nasema ccm inaupendo kwa kila chama