Mh. DC wa Mbozi aliyejiuzulu amjibu RC Mbeya!

Humu Jf, kuna mbumbumbu kibao. Subirini tuwaelimishe~
Kabla ya kuteuliwa, nafasi yoyote ni lazima mteuke aulizwe. Huwezi kumteua mtu kama mtuhumiwa. Ni lazima upate ridhaa yake. na Rais anapoteua huwa anaangalia na pia kumshirikisha mkuu wa mkoa kuhusu uteuzi wa wakuu wa wilaya. Kwani hao ndiyo RC atakuwa akifanya kazi nao.
 
Hivi kandoro amekuwa mwakilishi wa Rweyemamu wa ikulu nyanda za juu kusini?inashangaza kweli Rc mmoja anajua orodha ya wakuu wa wilaya wapya wa nchi nzima hata kabla hawajateuliwa! kweli kamfumo ketu kameoza,hakuna tena utaratibu,hata wazee wa dsm wanaweza kutangaza uteuzi wa makatibu wa wizara ama walitimuliwa

Hapo penye red hapo!

teh teh teh teh teh
teh teh teh teh
teh teh teh
teh teh
teh
t
 
hakuna chochote kujiuzulu kwake kunatokana na ulevi wake wa kupita kiasi kunakomsababishia hata kujikojolea, nakumbuka mara ya mwisho kabisa alishindwa hata kuwepo kwenye ugeni wa M/rais KUTOKANA na ulevi.

mbona Kitilya -cha pombe hajajiuzulu,au hilo hulioni! Achen usanii magamba hamna hadhi, mmebaki na kauli mfu mfano kina Nape,Kandoro,Lusinde,Chakusizia Wasira n.k. Bado mtalalama sana .
 
Humu Jf, kuna mbumbumbu kibao. Subirini tuwaelimishe~
Kabla ya kuteuliwa, nafasi yoyote ni lazima mteuke aulizwe. Huwezi kumteua mtu kama mtuhumiwa. Ni lazima upate ridhaa yake. na Rais anapoteua huwa anaangalia na pia kumshirikisha mkuu wa mkoa kuhusu uteuzi wa wakuu wa wilaya. Kwani hao ndiyo RC atakuwa akifanya kazi nao.

Kwa hiyo unataka tuamini kwamba hadi sasa Kandoro anaijua orodha yote ya wakuu wa wilaya zake watakaotajwa? Na je wateule wote tayari wanajijua(official info.) kwamba wamo kwenye orodha? Nadhani hii si sahihi. RC alikurupuka!
 
Niliwahi kusikia maneno fulani kuhusu Kandoro na Lukuvi, nadhani kwa sehemu yana ukweli sasa. Kandoro mmhh nakataa.

Kandoro ni kujikomba+u-ccm wake vinamsumbua. Mathalan imetokea DC kajiuzulu, kwa nini ametaka kutoa kauli ya kumdhika/kumchafua? Kulikuwa na haja gani?

Anatumikia maslah ambayo si ya wananchi.
 
Kitu ambacho sijaelewa ni sababu ya RC Kandoro kutoa maelezo yote yale kwa suala ambalo ni uamuzi binafsi wa mtu (DC Kimolo) kujiuzulu. Labda kama katika barua yake rasmi ya kujiuzulu amekosoa serikali au kumkosoa RC mwenyewe au katoa kashfa za rejareja. Hata kama kavujishiwa kwamba atatemwa karibuni, sio sababu ya RC kukimbilia vyombo vya habari na maneno ambayo wengine tunayaona kama mipasho ya kishangingi vile. Ni aibu kwa mtu tuliyezoea kumuona wa maana.
 
Back
Top Bottom