Mh. David Silinde....

Mh. David Silinde....

Xperience

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
278
Reaction score
51
Kwa mara yoyote utapomsikia Mbunge wa Mbozi Magharibi Mh. Silinde, huwezi kuacha kusikia facts. Bcom degree yake ni ya kipaji kikubwa. Je nani anapinga? Ni kwa sababu tu hatuangalii ubora wa kiongozi. Akiongea mheshimiwa Silinde wabunge wenzake husikia nondo zake na kutabasamu tu.
 
Xperience thibitisha kuwa wewe siyo Silinde, just kidding! Yeah, anajitahidi ku "confront" hoja kwa hoja, siyo kwa personal attack (Tundu Lissu, Jussa etc) ama threats (JK, Lukuvi, Komba etc), wala sympathy (Pinda, Sendeka, Sheikh Jongo etc).

Kwa mara yoyote utapomsikia Mbunge wa Mbozi Magharibi Mh. Silinde, huwezi kuacha kusikia facts. Bcom degree yake ni ya kipaji kikubwa. Je nani anapinga? Ni kwa sababu tu hatuangalii ubora wa kiongozi. Akiongea mheshimiwa Silinde wabunge wenzake husikia nondo zake na kutabasamu tu.
 
Mimi Nampata huyo Silinde nimemjua kupitia Bunge.... Hutoacha kumpenda yeye au jamaa wengine pale mjengoni akiwemo Mkosamali, Sugu na Lema.
 
te!te!te!te!te! ngoja ninywe chai kwanza nakuja kumsifia, maana hata mimi huwa ananifurahisha sana.
 
Ni kweli... Hata tulivyokuwa nae udsm... Ni kijana anaeongea ponti.
 
Mkuu mbona sijamuwona kulia huyo maana pinda na jongo nishawaona wakilia lakini sijajua tafsiri yake ni kwa kuwakumbuka akina marehemu au kwa namna ya inchi kuteketia maana ukilia na mipasho basi na chewo kinapanda
 
Kwa mara yoyote utapomsikia Mbunge wa Mbozi Magharibi Mh. Silinde, huwezi kuacha kusikia facts. Bcom degree yake ni ya kipaji kikubwa. Je nani anapinga? Ni kwa sababu tu hatuangalii ubora wa kiongozi. Akiongea mheshimiwa Silinde wabunge wenzake husikia nondo zake na kutabasamu tu.

Sidhani kama elimu yake ndiyo inamfanya awe mchangiaji mzuri bali akili yake.uelewa wake,maamuzi yake ndivyo vitu vinavyo msaidia.Maana kuna watu wana Phd mle ndani lakini akianza kuchangia basi either uamue kuzima TV au kutafuta channel nyingine.

Ila anaitendea haki ELIMU aliyonayo
 
jamaa nampa....:yo: bila kumsahau mkosamali. lissu na jembe posholo sugu.
 
JF bwana hata waheshimiwa wanakuja kujipigia promo.
 
Huyo hana mashauzi wala nini. Kasoma Minaki A level na UDSM Bcom. Nampendea kitu kimoja tu kuwa huongea kwa uhuru na ni mjenga hoja mzuri sana. Ingekuwa inawezekana angekuwa President mzuri.
 
Mimi Nampata huyo Silinde nimemjua kupitia Bunge.... Hutoacha kumpenda yeye au jamaa wengine pale mjengoni akiwemo Mkosamali, Sugu na Lema.

Nilikutana nae kwa mara ya kwanza alikuwa ameleta gari lake gereji pale Kidongo chekundu. Nikamuuliza wewe si Mh. Silinde? Akanikanyaga mguu watu wengine wasisikie. Nikajua ni mwenzetu, si mpenda sifa za kijinga.
 
Hongera Mh. Silinde nakumbuka tukiwa tunapiga wote shato pori wakat unakaa makuburi.... ukiwa na mfuko wako wa nyanya tatu........ lol... big up bro pamoja daima
 
Mbona mnatuua kwa kucheka? Jamaa hana mambo ya kijinga. Hivi hawa watu huwa wanapata api akili kubwa hivyo.
 
Kwa mara yoyote utapomsikia Mbunge wa Mbozi Magharibi Mh. Silinde, huwezi kuacha kusikia facts. Bcom degree yake ni ya kipaji kikubwa. Je nani anapinga? Ni kwa sababu tu hatuangalii ubora wa kiongozi. Akiongea mheshimiwa Silinde wabunge wenzake husikia nondo zake na kutabasamu tu.

Nami namkubali sana huyu mheshimiwa. Hata hivyo kuhusu shule ni kwamba hakumaliza hadi leo. Alikuwa na carry over ambayo hakurudi kuisoma hadi muda ukaisha na hivyo -discontinued!! Technically speaking hana degree hapo alipo!!
 
Hilo silijui mkuu. Mbona ameandika kwenye tovuti ya bunge. Kuwa anayo Bcom.
 
Back
Top Bottom