Mgonjwa wa moyo

Mgonjwa wa moyo

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Jamaa kaenda hospital akiwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo, dokta baada ya kumchunguza akabaini moyo haufai.
Dokta akaamuwa kumfanyia operation na kufanikiwa kuondowa kabisa tatizo lake. Baada ya miezi mitatu jamaa karudi kwa dokta na mazungumzo yakawa hivi,
Mgonjwa: Dokta nashukuru sana nimepona lakini nina tatizo jingine tangu nimepona napenda sana kusex sasa sijui ni tatizo gani tena?
Dokta: unajuwa tulikubadilishia moyo na kukuwekea wa changu doa lakini kama hupendi upo moyo mwingine umebaki lakini ni wa shoga unasemaje tukubadililshie?
Mgonjwa: !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahhahhaha sina neno

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mh?? sidhani kama wewe ni Great Thinker....
 
Du?huo uongo wa mchana kweupe!kwani sex desire zinatokana na moyo?
 
Back
Top Bottom