Juru
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 136
- 38
Hello member nimepata hamu ya kufaham ukweli kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu maana una shambulia sehem nyeti za miili yutu hasa mapafu n.k, je kwa MTU ambae aliugua na kutibiwa anaweza kulud katika hari yake kama mwanzo au anaweza kushirikiichezo kama football au riadha nikiwa na maana ya kutoweza kupata shida ingine. Asanteni sana