Mgomo wa walimu:CHADEMA inahusika?

kama chadema ni kujua ukweli basi inahusika!
 
ndio CHADEMA inahusika.......kwa hiyo? Vp una swali lingine?
 
Siasa za ccm hizo haitatui migogoro bali inatafuta kuwachafua na kuwatisha wadai haki
 
Hata nikigoma kumpa unyumba mume wangu itasingiziwa Chadema

Kweli dada yangu...hasa kama una kadi ya CDM...?? Lazima CHADEMA ITAKUWA INAHUSIKA....serikali yetu inaongozwa na VILAZA WOTE....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…