samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 217
no remorse whatsoever... watoto walijisahau sana hawa shenzi type
you can say that again buddyHahahaha wamekula ya mbuzi sasa wameota mapembe
Hao si ndio walikuwa wanaipongeza CCM juzi, na kupinga CHADEMA ku-walk out bungeni, imekuwaje tena?
where is CCM when you need them
Thanks mkuu kwa kunikumbusha kofia na tisheti... wazikamue basi zitoe maji, LOLYawezekana Maralia Sugu yupo busy kuwatatulia huo mgogoro t-shirt na kofia wamevaa kumbe vyoo vyao havina maji hahahaha si bora wangekataa hizo ugua pole ili wachimbiwe visima hapo UDOM
Hao si ndio walikuwa wanaipongeza CCM juzi, na kupinga CHADEMA ku-walk out bungeni, imekuwaje tena?