Watu wabaguzi kama ninyi wengi nimitoto ya majambazi haijui watoto wa maskini wana shda gani,umewahi kujiuliza mabilioni ya kodi za wafanyabiashara yanakwenda wapi?? Umewahi kujiuliza kwnin waja wazito wanalala chn hospital hasa kipnd hiki wakat enz za nyrere ushenzi kama huo haukupo??barabara,zahanati na ,mashule pesa zote znatoka kw wahisani, je umewahi kujiuliza kodi za wafanyabiashara znafanya nini?? Kama akili zipo majibu unayo!!watu wanalipa kodi san
Pale bandarini mzigo ukifka toka nje unachajiwa almost 45 pacent kodi and other charges,sasa hv wamedai walipe hundred pacent of the cago value!!! Wamejiajiri wala serkar haijachangia anything kuboresha their strugle sana sana kuwangamiza.
Hivi utajiri wa dhahabu na almas hauwez kua chanzo cha mapato ya nchi hii,??
Vipi utaliii hauwezi kua chanzo cha mapato nchi hii??
Kwanini resource hiz hata siku moja serkar haijutapa mchanganuo,mfano tan ngap za gold every month zmechangia pato la taifa!!
Kwanini vianzo vya mana vya mapato havileti tija kwa taifa???