Wewe ndio hujui unachoongea hakuna mfanyabiashara anayependa kulipa kodi halisi kulingana na mapato yake. Wafunge tu sisi leo tunanunua mahitaji yetu mapema,tena waambieni warefushe mgomo maana wafanyabiashara wengine wananufaika na mgomo huu. Kwanza huu mgomo hauko huru kuna vitisho na kulazimishana. Ni vizuri wafanyabiasha wakaanzisha jumuiya nyingine itakayokuwa huru wamuachie Minja na wachaga wenzie jumuiya hiyo kuwatumikia wanasiasa
Tuna miaka mingine 100 ya kuendelea kubaki hapa tulipo kwa hiyo tatizo ni Minja na uchaga wake sio fact anazotetea kuhusu huu mfumo wa kodi, mkuu piga kazi ofisini hapo subiria mwisho wa mwezi mshahara wakate PAYE nyingine wakupelekee NSSF utaichukua ukistaafu au kama utaacha au kufukuzwa, this business thing tuachie sisi
Huko ulaya kodi inatumika kwa mambo ya msingi miundombinu ya kueleweka na chenchi tunapewa msaada halafu tunanunulia rada mbovu, huku kwetu kodi inatumika kununua magar ambayo hayana barabara za kupita, ambazo mvua ikinyesha dk 5 barabara zote zinapotea tunaona mito tu dar es salaam barabara ya uhuru kutoka round about mpka karume inajengwa almost miezi nane na zaid sa hiv et mkandarasi anatumia sururu kuchimba mtaro wa maji, wilaya ya ilala ambayo ndipo ikulu na wizara na idara na ofice kubwa zote zilipo, Ahsante
Acha kudanganya wewe. Wafanyabiashara ndio chanzo cha hayo yote unayosema wala wewe si mfanyabiashara kwa namna ulivyocomment,wala hujui mfumo wa kodi hapo bandarini na jinsi gani deal zinavyopigwa kukwepa kodi.
hoja ipo ktk majadiriano.Serikali imekurupuka na EFD..
Acha uongo dunia nzima wapi unaongelea. ucwe kama bwabwa wewe. kama hujui kaa kimya. au uliza. waambie serikali yako kwanini hawataki cc tulipe kodi. unalipia container la futi 20 nguo tshs milion 40 halafu unaletewa risiti yenye kuonyesha umelipa tshs milion 12 kwanini wasituonyeshe hiyo account tutumbukize zote 40 au ni wewe unaetetea huu ujinga.