Mgomo wa wachinja nyama ya Ng'ombe

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Wakuu habari,

Kuna taarifa ya mgomo wa watoa huduma ya kuchinja nyama za Ng'ombe machinjio ya Kimara wamegoma leo usiku wakipinga kutozwa ushuru mara mbili.

Mgomo huo utapelekea kuathiri Wilaya ya Kinondoni na maeneo yake.
 
Mtanzania akila kuku nyumbani basi kuna mawili.... Either kuku mgonjwa... Au Mtu ni mgonjwa
 
kitomoto ipo tabu ya nini? kwa ng'ombe kashachuja hizi ni zama za kitimoto hata mashehe wanadima siku mojamoja
 
Back
Top Bottom