ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
- Thread starter
-
- #21
Hivi hizi hoja zako nazo ndizo za kizalendo! Unaipenda nchi au unapenda fedha za nchi unazopewa na wezi walioshika madaraka. Mwanakijiji ni mzalendo anayependa nchi na watu wake. Nyinyi na ccm yenu mnapenda tu fedha za nchi na mnawakamua hata maskini wasiokuwa na uwezo wa kupata elf 1 kwa mwezi huku mkiwasamehe matajiri na makampuni ya madini ili mpate rushwa. Sasa tumechoka na nyinyi makupe wa nchi yetu mnaonenepa na kufura matumbo kwa damu zetu.
Huu mgomo wa simu ni kukanyaga tu klach ili kuweka gia ya migomo kamili dhidi ya serikali hii ya wauza unga, wauaji na walipuaji wa wananchi wasiokuwa na hatia kwenye mikutano ya amani ya siasa.
Kesho mgomo unaanza na utaendelea.
Hivi,ndo tuseme mwanakijiji nae atazima simu akiwa hapo America?...
Kama mnajua kuna bunge kwanini msingesubiri utaratibu kabla ya kuanzisha hilo?...mkajifanya ni dharula....ni kwa ajili ya kampeni 2014/2015 huo ndo ukweli japo mchungu....hamumpati mtu ccm na ndo mana mwanakijiji kaamua kubaki huko....me pia ingekuwa na uwezo hili li nchi ni la kulihama tu hadi waje cuf,chadema,nccr na wengineo co ccm na ndo maana hawataki uraia wa nchi mbili wengi tusingerudi tena...puuuumbav
We Boya haujui ukweli hauna uhalali wa kuandika umbea wako Marehemu Mwangosi hakuawa kwenye maandamano,mbona mnaandika vitu msivyokuwa na uhakika navyo ili umfurahishe nani kama si ujinga?
Mwangosi aliuawa wakiwa kijiji cha Nyololo kifungua tawi la Chadema baba yenu mnaandika umbea wakati nyie ndio mliowatuma Policcm kumumwangosi? Wauaji wakubwa nyie
lakini my beloved gloria si bunge ndo limepitisha jamani?Kama mnajua kuna bunge kwanini msingesubiri utaratibu kabla ya kuanzisha hilo?...mkajifanya ni dharula....ni kwa ajili ya kampeni 2014/2015 huo ndo ukweli japo mchungu....hamumpati mtu ccm na ndo mana mwanakijiji kaamua kubaki huko....me pia ingekuwa na uwezo hili li nchi ni la kulihama tu hadi waje cuf,chadema,nccr na wengineo co ccm na ndo maana hawataki uraia wa nchi mbili wengi tusingerudi tena...puuuumbav
lakini my beloved gloria si bunge ndo limepitisha jamani?
Tatizo hapa wanataka litenguliwe bila kufuata process za kibunge na mambo hayaendeshi kwa amri za kutoka kwenye viblog au harakati za mmarekani mtanzania...kama ilishapitishwa na bunge si inabidi bunge ndo litengue,hivi hata rais anawezaje kutengua hapo?.
Wakati watu hapa wanazima simu na kurudi kuwasiliana kwa sanduku la posta,mwanakijiji akiwa amerika ataendelea kujinafasi kwa mawasiliano kwa raha zake.mimi sizimi ng'o.
kweli mkuu plus watu ndo wamepokea mishahara tarehe hizi tena ndo wanafufua na laini zilizokuwa hazijatumika kwa kuweka na masalio....hata simu za nyumba ndogo zilizokuwa off zinatumiwa masalio ya kutosha.ma mpesa na matigo pesa ndo usisemeMwanakijiji anazeeka vibaya.. hakuna mtanzania atakayezima simu.. wataongea kishabiki tu humu JF
Nani kakudanganya kuwa umefeli?
Jipe moyo, subiri kesho utaipata freshi, leo tunamalizia vijisalio vyetu pamoja na kuagana na ndugu jamaa na marafiki... Kuanzia sa 6 usiku wa leo simu zote tunatia kwenye maji
Mimi ingekuwa hiyi kodi itapekekwa kweli kwenye maendeleo nisingeona tatizo kuchangia hata kama ingekuwa elfu 10 kwa mwezi, tatizo hiyo kodi mpya ya line za simu ni kwaajili ya kampeni za ccm mwaka 2015 .... Tumechoka kuwaneemesha ccm na familia zao!
Ukiona hivyo ujue huyo ni mtumwa wa kutumwa au mtumwa wa kujituma ili siku moja awe mtumwa wa kutumwa. Siku haijafika yeye anaanza kuwashwa eti 'mgomo umefeli'.Nani kakudanganya kuwa umefeli?
Jipe moyo, subiri kesho utaipata freshi, leo tunamalizia vijisalio vyetu pamoja na kuagana na ndugu jamaa na marafiki... Kuanzia sa 6 usiku wa leo simu zote tunatia kwenye maji
Mkuu watz wameamka, tuilipe baada ya miezi miwili au mitatu watupe feedback. Wakizila hakuna haja ya kusubiri 2015
mzee mwanakijiji yuko u.s anapiga cm eti anahamasisha mgomo tz huyu mzee ni janga la nchi yetu aje agomee hata tz.
Ukisema hivyo kijijini utapigwa mawe, ona ujumbe wa simu wanotumiana watu wa vijijini: "Bado kidogo ukimpigia mtu utakuwa unasikia hivi...SAMAHANI, MTEJA UNAEMPIGIA ANADAIWA KODI YA LAINI YA MWEZI, TAFADHALI MCHANGIE TUMFUNGULIE LAINI YAKE...! Mtajuta mbona, maisha bora kwa kila mtanzania".Mi sigomi na naomba hiyo buku ilipwe ili siye wa vijijini tupate umeme. Tumechoka kuwa gizani jamani.
Ukiona hivyo ujue huyo ni mtumwa wa kutumwa au mtumwa wa kujituma ili siku moja awe mtumwa wa kutumwa. Siku haijafika yeye anaanza kuwashwa eti 'mgomo umefeli'.
Huyu jamaa sijui kwanini anaichukia Tazania kiasi hicho. Hajawahi kuhamasisha anything positive, yeye kila siku ni kuhamasisha migomo, vurugu, maandamano na vita...
aotelini. Uchochezi huu wa Dr. Slaa ulisababisha kifo cha mwandishi Mwangosi. Kila anapoul
Mwanakijiji anatumika vibaya sana na hana nia njema na taifa hii.
We Boya haujui ukweli hauna uhalali wa kuandika umbea wako Marehemu Mwangosi hakuawa kwenye maandamano,mbona mnaandika vitu msivyokuwa na uhakika navyo ili umfurahishe nani kama si ujinga?
Mwangosi aliuawa wakiwa kijiji cha Nyololo kifungua tawi la Chadema baba yenu mnaandika umbea wakati nyie ndio mliowatuma Policcm kumumwangosi? Wauaji wakubwa nyie