Mgomo wa mafuta umeanza tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa mafuta umeanza tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Aug 22, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,456
  Likes Received: 9,837
  Trophy Points: 280
  Jamani vituo vyote vya kuuzia mafuta havina petroli. Naomba mwenye kujua sababu ya uhaba huu wa mafuta atueleze ili umma ujue na ujihami.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  mkuu watu washakula advance kwa hiyo kila mtu ana sauti..
   
 3. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Maisha bora kwa kila Mtanzania ndio haya? Hamna maji, hamna ajira, hamna umeme, hamna mafuta hakuna chochote
   
 4. R

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 13,978
  Likes Received: 2,255
  Trophy Points: 280
  Walau kuna kufuturisha labda itasaidia kupunguza hasira za wadanganyika
   
 5. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 744
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 60
  <br />
  <br />
  haswaaa mkuu.. ila mwezi mtukufu ukiisha sijui itakuwaje? Labda tutatoka na style nyingine!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,456
  Likes Received: 9,837
  Trophy Points: 280
  hizi mbinu za serikali yetu kutatua matatizo kwa namna ya funika kombe mwanaharamu apite itakuja kutugharimu.
   
 7. regam

  regam JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Badilisheni mfumo wa magari yenyu kuwa hybrid. Yaani yanayotumia mafuta au lpg. Ukikosa mafuta utachukua lpg yako swaaaafi.
  Lakini mhh! Usije na mgao wa lpg itakuwa noumaaaaa!
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Imenibidi nicheke ahahha hahaaaaaaa
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mhhh regam nn maana ya lpg???? sijaelewa samahani kwa kuuliza.

   
Loading...